Kwa 'body language' tu ya Mama azungumzapo huhitaji Akili Kubwa kujua ya kwamba...

Amekwambia anataka kupendwa na kila mtu? Mama ni mwanasiasa mahiri na ana akili timamu usidhani kama anafikiri kupendwa na kila mtu kwasababu sio kitu ambacho kinawezekana, Ameamua kuongoza kwa misingi ya utu, upendo na haki.

Ninini kinakutesa?
Eti dada, Kwa nini umelopoka??
 
Hakuna kitu kitabadilisha maisha kuwa Bora zaid Kama hutojishughulisha na kufanya jambo kwa juhudi na ubunifu vinginevyo utazidi kunyooshea watu vidole na kuamini kuwa unalogwa au unaonewa kumbe the problem is you
Shida sio kujishughulisha tatizo lilikua vitu vingi vimeminywa ,ni biashara ngapi zimefungwa kwa mkandamizo wa kodi?? Wawekezaji wangapi wameondoka kwa sera za ubabe na uonevu?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kitabadilisha maisha kuwa Bora zaid Kama hutojishughulisha na kufanya jambo kwa juhudi na ubunifu vinginevyo utazidi kunyooshea watu vidole na kuamini kuwa unalogwa au unaonewa kumbe the problem is you
Mzee hata kuongezewa mishahara na kupanda madaraja kwa watumishi hakibadilishi maisha ya mtu?
 
Mdomo huumba kwa hili la leo wacha nijitose kumpongeza mama hongera sana
 
Pole sana tena sana.....
 
Mimi bado sijampa maksi zangu zote. Kipimo cha kwanza ni siku zake 100 akiwa madarakani.

Na hiki kitakuwa ni moja ya vipimo mwafaka ambavyo pia vitaamua hatma ya uongozi wake na future

yake kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…