Kwa 'body language' tu ya Mama azungumzapo huhitaji Akili Kubwa kujua ya kwamba...

Vita ya wezi si ya mtu mmoja abadan, ni yetu sote.
Wezi tuliwalea wenyewe na kuwachekea tena tukiwasifu mitaani kwa maneno kama "umeulla" mtu akipata nafasi asitajirike tulimbeza aliyekwiba tulimuita boss na kumpelekea bakuli la sadaka. Tukatae sisi tusimsubiri rais.
Wezi hawaishi kwa nguvu ya mtu mmoja maana panya ni wajanja...
 
Mi sina hamu na jiwe, na sina cha kumkumbuka jiwe Mimi , nilikata tamaa kabisa , basi tu.... Aliyemtuma kuja kuyafanya maisha magumu ni nani jaman wakati duniani tunapita na mwenye dunia yake alisema tusisumbukie ya Kesho.......!!!
Kwa hayo mabaya ndio kumbukumbu ya mwendazake.

You like me
 
Sisi timu ya kusifu mwendo n uleule yan hapo tumebadili kanisa tu na wimbo tunatunga mpya.
Haya sasa mapambio yaendelee
 
Huna hoja bora ungenyamaza. Hapo ni chuki binafsi tu kwa jpm kwa kudhibitiwa kwako dhidi ya maslahi ya umma. Kama sio cheti feki kutumbuliwa na kadhalika.
 
Subiri tu, na badooo. Tutaelewana tu bado hajafika. Itakuwa rahisi kumuelewa anakotupeleka baada ya muda mfupi tu.

Kwani katika serikali ya awamu ya 5 kuna aliyeshirikishwa. Sauti ilikuwa moja tu na ngoma moja tu na nyimbo ni mmoja tu. Unataka cheza ama ondoka zako.

Mama RUKSA, Mama mi 5 tena.
 
Shida sio kujishughulisha tatizo lilikua vitu vingi vimeminywa ,ni biashara ngapi zimefungwa kwa mkandamizo wa kodi?? Wawekezaji wangapi wameondoka kwa sera za ubabe na uonevu?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe ulifungiwa Biashara gani na Magufuli au ukifanyiwe ubabe gani au uonevu gani.

NOTE: Attack maandishi yangu nasio personality yangu au ya mzungumzwaji
 
Mama ameanza vizuri na ANAENDELEA VIZURI She have the support of more 90% of Tanzanianians.Karibu nachukua kadi ya CCM... Kuna mambo Kadhaa bado...

(1)Sheria kandamizi za mitandao,kodi....,
(2) Wape wanasiasa uhuru wao wa kufanya siasa any time they think so.Ni jicho la tatu kwenye kufichua maovu mbalimbali baada ya vyombo vya habari....
(3)....
 
Ni mawazo yako tu
Kila zama na kitabu chake!
 
........Sitaki kodi za dhuluma mie......

Ila wapitisha mizigo na wau flow mita bandarini ili wasilipecvodi ni sawa. Ndio maana ya msemo huu kama hukuzingatia kilichopelekea maamuzi hayo .
 
Kwa maoni yangu naona mama anatamani uongozi kama wa hayati ila hataki kufichaficha na kuoneana na kuwaminya wapinzani.

Na hilo ndo lilikuwa linamshinda hayati.

Go mummy goo.
 
Yule mama aisee unaweza angalia namna anavyoongea tu
Clip yake iko wapi tukaange bando zetu
Hotuba imechukua saa moja na nusu mkuu,hilo bando na usawa huu...😂
 

Hivi toka lini tatizo likawa na Rais. Subiri utaleta uzi hapa.
 
Sasa CCM leteni ile agenda yenu ya kuongeza muda wa utawala. Kama ingepita kwa yule sijui ingekuwaje! CCM tumieni akili. Sasa wote mtaanza mapambio ya kumsifia mama yetu, Rais Mpendwa saaaaana aliyekuja kivingine, akiachana na utawala wa kibabe huku mkimtukuza Mwendazake na kumlinganisha na Yesu! Hivi huwa mna ubongo vichwani au mafua tu?!!

Mama Samia Suluhu Ni Faraja baada ya dhiki, ni Heshima penye dharau, ni Pendo penye Chuki, na ni Matumaini penye Kukata tamaa. Yeye hasa ndio MWENGE WA UHURU!!!!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…