Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Hongera Mmorocco
 
Mpumbavu wewe, namuunga mkono SSH na sera zake lakini huwezi kuniita chawa, kwangu mimi hilo neno ni tusi.

Kesho nitaishangilia Stars kwa sababu nafsi yangu ipo hivyo sitangulizi siasa kwenye mapenzi ya timu yangu ya taifa.
Wew ni chawa, jikubali mkuu!.
 
niko na wewe kabisa, hiyo timu siipendi tangu zamani. na hivi inapoingiliwa na siasa, ikishinda eti kuna mwanasiasa anasifiwa, chuki zangu zimeongezeka maradufu
 
Nashauri kuliko kuendelea kupoteza hela kwenye mashindano ambayo tunajua hatutoboi, (Mungu kasikia dua langu), tujitoe kabisa kwenye mashindano haya kwani hakuna game tutakayoshinda tena. Chukua maneno yangu
 
CCM walijua wanawakomoa wapinzani kwa kuingiza siasa mpirani. Sasa wasubiri kipigo cha paka mdokozi kule Casablanca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…