Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Hiyo ya kesho iko obvious kuwa nani anafungwa. Nafikiri haihitaji maombi ...... Sema tukifungwa watasema nini!!?

Maana timu ikishinda sifa zinaenda kwa Maza ..... tukifungwa wansepa!! Hii MICHAWA sijui Maza aliitoa wapi!!?
Jifanye kama huwasikii hao machawa, shangilia timu ya taifa walilozaliwa Baba na Mama yako.
 
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.

Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Wamefanyaje wanafia timu hao
 
Kuwasikia, tunawasikia .... hata wewe ni mmoja wa Machawa .... tunakusikia!!

Swali langu lilkuwa dogo tu Maza aliypata wapi haya Machawa....!!?
Mpumbavu wewe, namuunga mkono SSH na sera zake lakini huwezi kuniita chawa, kwangu mimi hilo neno ni tusi.

Kesho nitaishangilia Stars kwa sababu nafsi yangu ipo hivyo sitangulizi siasa kwenye mapenzi ya timu yangu ya taifa.
 
ccm ndio zao ndio yale ya madogo wa Zanzibar u15 kukamatishwa mabango ya chama baada ya kuchukua kombe na wakati wa kwenda uganda waliwapeleka kwa mabasi
 
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.

Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Yaani dua zetu ni kuhakikisha hiyo team ya taifa inapigwa bao za kutosha.
 
Mpumbavu wewe, namuunga mkono SSH na sera zake lakini huwezi kuniita chawa, kwangu mimi hilo neno ni tusi.

Kesho nitaishangilia Stars kwa sababu nafsi yangu ipo hivyo sitangulizi siasa kwenye mapenzi ya timu yangu ya taifa.
Mpumbavu ni wewe ... Parasite mkubwa. Yaani hata hujui hadhi yako ya Uchawa. Una akili kweli wewe!!?

Eti unaunga mkono sera sera ... Sera gani za kununua ticket na magoli!!?
 
Uache kuishangilia Stars kwa sababu kuna watu wa Samia wanaishangilia, wewe utakuwa mpuuzi wa mwisho kabisa.

Uzalendo wako una bei tena ndogo sana.
 
Mpumbavu ni wewe ... Parasite mkubwa. Yaani hata hujui hadhi yako ya Uchawa. Una akili kweli wewe!!?
Wewe mpumbavu wa mwisho, unayewachukulia watu wote kwa uelewa wako finyu. SSH ataungwa mkono na Stars itaungwa mkono kwa nguvu zote.

Huwezi ukawa na akili za kulalamika kwenye kila kinachofanyika, kila kitu kwako ni negativity, that is a stupid mindset.
 
Kuwasikia, tunawasikia .... hata wewe ni mmoja wa Machawa .... tunakusikia!!

Swali langu lilkuwa dogo tu Maza aliypata wapi haya Machawa....!!?
Machawa yatatokana na uchafu uliokithiri, kwahiyo haya machawa yameota yenyewe huko kwenye uchafu wa CCM.
 
Mpuuzi wewe, Taifa Stars ipo kabla hata CCM haijaanzishwa mwaka 1977, uzalendo kwanza kwa Taifa lako CCM mwalimu Nyerere alisema sio Baba yake lakini hakuwa na jeuri ya kusema Tanzania sio nchi yake.
Ni hivi, kwa upuuzi wanaofanya ccm kwenye team ya taifa, hiyo team inatakiwa ipigwe BAO za nguvu. Huyo Nyerere ndio katuachia huu uchafu uitwao ccm, sasa hatujui Nyerere ndio nani.
 
Ni hivi, kwa upuuzi wanaofanya ccm kwenye team ya taifa, hiyo team inatakiwa ipigwe BAO za nguvu. Huyo Nyerere ndio katuachia huu uchafu uitwao ccm, sasa hatujui Nyerere ndio nani.
Tutacheza na Morocco na pengine tutashinda kwa mapenzi ya Mungu, nyinyi pingapinga endeleeni na hisia zenu hakuna wa kuwazuia.
 
Back
Top Bottom