Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mimi umri umesogea huwezi kuniona hapo uwanjani nitatazama mechi kwenye runinga, Stars itashinda kesho Mungu akipenda.Utakuwa chawa wa mama pale uwanjani maana mtabeba mabango mengi ya huyo maza enu.
Mabango ni mengi kuliko hata taa za uwanjani.
Mmehongwa kama chawa kwa kupewa free entrance ili mbebe mabango ya huyo maza.
Hakuna cha bure ndugu chawa.
Akili za uchawa ni za kipuuzi, sisi wengine tutamshangilia SSH na serikali yetu na hatupo huko kwenye uchawa.
JPM alikuwa na wale MATAGA kina Kigwangallah, na wao walikuwa ni machawa wa Magufuli?.