Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Utakuwa chawa wa mama pale uwanjani maana mtabeba mabango mengi ya huyo maza enu.

Mabango ni mengi kuliko hata taa za uwanjani.

Mmehongwa kama chawa kwa kupewa free entrance ili mbebe mabango ya huyo maza.

Hakuna cha bure ndugu chawa.
Mimi umri umesogea huwezi kuniona hapo uwanjani nitatazama mechi kwenye runinga, Stars itashinda kesho Mungu akipenda.

Akili za uchawa ni za kipuuzi, sisi wengine tutamshangilia SSH na serikali yetu na hatupo huko kwenye uchawa.

JPM alikuwa na wale MATAGA kina Kigwangallah, na wao walikuwa ni machawa wa Magufuli?.
 
Wewe mpumbavu wa mwisho, unayewachukulia watu wote kwa uelewa wako finyu. SSH ataungwa mkono na Stars itaungwa mkono kwa nguvu zote.

Huwezi ukawa na akili za kulalamika kwenye kila kinachofanyika, kila kitu kwako ni negativity, that is a stupid mindset.
Tatizo hujajikomboa kifkra umezoa kula PROPAGANDA. Siku ukifunguka akili ndipo utakapojua kuwa hakuna sera zozozte zaidi ya propaganda. Yaani kwa akili yako kweli nchi yenye sera itakuwa hivi baada ya miaka 60 ya Uhuru .... Sera ziko nchi kama Singapore, Qatar, Korea ...!!
 
Unayeongea nae ni mzee wa miaka 50 anaijua sana hii dunia na mambo yake mengi tu. Hauongei na mtoto wa juzi kama unavyodhani.
 
Wewe mpumbavu wa mwisho, unayewachukulia watu wote kwa uelewa wako finyu. SSH ataungwa mkono na Stars itaungwa mkono kwa nguvu zote.

Huwezi ukawa na akili za kulalamika kwenye kila kinachofanyika, kila kitu kwako ni negativity, that is a stupid mindset.
Wakati wa vita vya Uganda, waganda waliwaunga mkono majeshi ya Tanzania ili kumuondoa Nduli Amin, hakukuwa na uzalendo uchwara Wala Nini. Hapa pia hatuna uzalendo ccm wakishaanza kunajisi mambo ya nchi. Ushindi mnono uende kwa team ya maana ya Morocco.
 
Tutacheza na Morocco na pengine tutashinda kwa mapenzi ya Mungu, nyinyi pingapinga endeleeni na hisia zenu hakuna wa kuwazuia.
Hilo utajua ww, lakini ccm wakianza kuleta siasa kwenye jambo lisilohitaji siasa tunalipuza. Morocco hoyee.
 
Mpumbavu wewe, namuunga mkono SSH na sera zake lakini huwezi kuniita chawa, kwangu mimi hilo neno ni tusi.

Kesho nitaishangilia Stars kwa sababu nafsi yangu ipo hivyo sitangulizi siasa kwenye mapenzi ya timu yangu ya taifa.
Wewe ndiye mpumbavu mkubwa,SSH hana sera, hizi sera ni za ccm, hii ni serikali ya CCM SIO ya president SSH,na elewa centre of power ipo Lumumba street na sio magogoni
 
Mimi umri umesogea huwezi kuniona hapo uwanjani nitatazama mechi kwenye runinga, Stars itashinda kesho Mungu akipenda.

Akili za uchawa ni za kipuuzi, sisi wengine tutamshangilia SSH na serikali yetu na hatupo huko kwenye uchawa.

JPM alikuwa na wale MATAGA kina Kigwangallah, na wao walikuwa ni machawa wa Magufuli?.
Kuishangilia staz ni Kuishangilia CCM, ikiwa wewe ni mfuasi wa siasa za kinafiki za ccm washangilie tu staz😂

Hebu niambie hayo mabango yanauhusiano gani na staz iwapo hiyo timu sio mali ya ccm?

Jibu ni moja tu CCM imevamia tasnia ya michezo, mwenyekiti wa chama anajinadi kupitia hiyo tasnia ili aonekane ni mchapaka kazi kumbe sivyo hivyo.

Naombea staz wapigwe nyingi kabisa
 
Mkuu ikikuuma sana hama nchi, CCM imekuwepo tangu 1977 piga hesabu ulikuwa na miaka mingapi na hivi sasa una miaka mingapi.
 
Hesabu za nini wakati kila kitu kipo wazi.

Ufisadi

Wizi

Huduma mbaya kwa jamii

Ndugu kupeana madaraka nk

CCM ya Nyerere haikufanya huo upuuzi, ila hii ccm ya sasa sio ya kushobokea kabisa hasa hii awamu ya 6.

Siwezii hama nchi ila sitashangilia staz ya ccm.
 
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.

Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Mm hufurahi sana tukifungwa. Na hatutashinda
 
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.

Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Mimi nishaweka mkeka wangu

Morocco win
 
Back
Top Bottom