Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.

Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Kesho tunakula nyingi tu zisizopungua Tano
 
Mimi umri umesogea huwezi kuniona hapo uwanjani nitatazama mechi kwenye runinga, Stars itashinda kesho Mungu akipenda.

Akili za uchawa ni za kipuuzi, sisi wengine tutamshangilia SSH na serikali yetu na hatupo huko kwenye uchawa.

JPM alikuwa na wale MATAGA kina Kigwangallah, na wao walikuwa ni machawa wa Magufuli?.
Hata Mungu anakaa mbali na haya maombi.... Hatuna timu ya kumfunga Morroco.....
 
Mpira sio mchezo wa kukariri hata siku moja.
Utaumia Bure kama Simba walivyoingia na matokeo Yao.... Hatuna timu ya kumfunga Morroco labda tuzuie tu kama Algeria.....na tushukuru tu Algeria naye alikuwa ameshapita ....Hawa ndio tunaanza nao mbio .... Tutagongeshwa hutoamini....
 
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.

Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Btw hiyo dua unaomba kwa nani?
dua unaomba kwa nani
 
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.

Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Tunapigwa kama Ngoma kesho
 
Back
Top Bottom