Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Hawa wajinga kwa sababu ya machungu yao wanataka tuitenge Team yetu pekee tuliyonayo.
Aisee Huwezi kunitenga na Stars hata siku moja.
Unajua ndugu yangu kuna mambo mengine yanaleta maudhi,unaweza kuta kuna shughuli fulani ya kiserikali haswa!unakuta watu wamekuja wamevaa kanga,T-shirt na kofia za ccm!what?kama uliona stars ilivyopokelewa kutoka kucheza na Niger ni sawa kweli?