Kwa CHADEMA kuwa Rafiki na Chama cha Kikiristo cha UJERUMANI, Wanafuata Mrengo wa chama hicho?

Kwa CHADEMA kuwa Rafiki na Chama cha Kikiristo cha UJERUMANI, Wanafuata Mrengo wa chama hicho?

Status
Not open for further replies.
naona huna cha kujibu umeishiwa hoja ukweli unabaki hivyo cdm ni chama cha kikristo ndiyo maana zzaidi aslimia 89% ya mabunge wake ni cristian,

kwa hiyo na CCM ni cha kiislam, marais wa Zanzibar na bara wako watano (marais na siyo wabunge) na wote waislam! 100%
 
Pale Ujerumani vyama hivi vinaitwa majina ya .....Christian party... lakini wala havina sera wala upendeleo wa kidini kama ambavyo mleta uzi anafikiri! Kwa hapa Tanzania Chama chenye uongozi wenye mizania sawa ya kidini ni CHADEMA! Mwenye macho haambiwi "Tazama!"
 
Historia ya ujeremani na baadhi ya nchi za ulaya huwezi kutengenisha na ukristu. Soma kitabu cha Nyerere Binadumu na maendeleo kwenye hotuba yake kwa watawa wa maryknoll kuhusu shabaha ni mwanadamu. Majina na asili yake ndio hivyo. Ni sawa na nchi nyingi tu za ulaya bendera zake zina msalaba isipokuwa zilizofanya mapinduzi mf french revolution au italy second republics nk. Haina maana ni za kidini ni historical zaidi. Tatizo letu tunataka wakati mwingine kukana hata historia. Sikumbuki. Hivyo hi yo hivyo na ulimwengu wa kiarabu kuna mafungamano ya namna hiyo. Kama hujui ujerumani unaweza kulipa zaka direct kwa kukatwa kwenye mshahara kama PAYE.
 
Mmeguswa kidogo tu mnaongea kama mmepigwa ufunguo
 
Pale Ujerumani vyama hivi vinaitwa majina ya .....Christian party... lakini wala havina sera wala upendeleo wa kidini kama ambavyo mleta uzi anafikiri! Kwa hapa Tanzania Chama chenye uongozi wenye mizania sawa ya kidini ni CHADEMA! Mwenye macho haambiwi "Tazama!"
Kamdanganye bibi yako na siyo sisi werevu?
 
Wadau,

Wakati wa Kampeni za uchaguzi nchini Ujerumani zikiwa zimepamba moto, tumeshuhudia muungano wa vyama kwa misingi ya itikadi za vyama hivyo. CDU cha Angel Merkel ambacho ni cha Kikristo, kinashirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa kikristo kikipambana na vyama vingine vya mrengo wa kati. Ikumbukwe kuwa CDU ndo chama rafiki cha CHADEMA na wamekuwa wakiitumia taasisi ya KAS kutengeneza vyama vibaraka ulimwenguni kote ambavyo vinafuata mrengo wa Kikristo. Kutokana na Katiba ya hapa Tanzania kutoruhusu vyama vya mrengo huo, tumeshuhudia CHADEMA wakitekeleza sera za CDU kwa kificho. kwa CHADEMA kuwa rafiki na chama cha kikristo na kutokana na chama hicho kuwa na mwelekeo wa kupendelea watu wa dini ya kikristo hasa katika kupanga safu ya uongozi na uteuzi wa nafazi za wagombea, je si wakati muafaka sasa wa kukifuta chama hiki? Tujiridhishe jinsi wajerumani wenyewe wanavyoelezea muungano wa vyama hivyo;

.

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina viongozi wangapi wa Kikristu? na je kwa mtazamo wako huu sio wakati wa kuifuta CCM huko Zanzibar?
 
Wewe jamaa wa ajabu sana yaani hujui kua bajeti ya nchi yetu inachangiwa na Ujerumani??? Hii ni aibu sana

Sasa naanza kujua ni mtu wa namna gani asiyejua hata abc za Nchi yake.
Maneno matupu hayavunji mfupa ungekuwa wa maana kama ungetuambia wanachangia asilimia ngapi ila kwa sasa mi nakuona kama wahuni wengine tu.
 
Great thinker ni mtu aliyekomaa kiakili. Anayejibu kwa hoja na si matusi!

Mkuu, kuna watu wengine humu JF wanakera sana. Bora kuwapa za uso tu kama alivyofanya Lizaboni
 
Mkuu, naona umekariri vibaya. si kila mahala msemo huo unafaa
Hayo ni maoni yangu ni ukweli uliodhihirika. siku za nyuma cdm waliwaponda sana cuf na walifanya hivyo kwa sababu na malengo yao lakini ilipofikia mahala vyama vyote hivyo vinamsimamo mmoja kwenye particular issue siyo dhambi kabisa kuwa alliance kama walivyokuwa nayo na vilevile siku za mbele itawezekana kabisa kuwa na misimamo tofauti kabisa kwenye issue.
Inavyoonekana wewe ni muumini wa the 'little red book' ambayo hata wachina wenyewe hawatumii theory hiyo ya 'oppose what ever your enemy support and support whatever your enemy opposes'
Kuna siku itatokea hata cdm and ccm wakawa na msimamo mmoja over a particular national issue.
 
Kamdanganye bibi yako na siyo sisi werevu?
Mkuu Lizaboni,

Jamaa anadhani kila mtu ni mateka wa Chadema.

Endelea kutoa darasa watanzania wapenda amani wanakosoma.
 
Last edited by a moderator:
wamesahau wenzao waliwaita MASHOGA bungeni?? da kweli mtendwa akitendwe hupiga mayowe sana. chadema ni wanafiki tu. hawana sera
 
Hint: mfano mimi na wewe tunapata urafiki kupitia kuishabikia timu fulani...timu hiyo ina mashabiki wa dini, kabila na rangi mbalimbali so Timu ndio imetuunganisha. CDM na CDU wanakutana katika Shirikisho la Vyama Vya Kidemokrasia Duniani ambapo kuna vyama vya kidini na kisekula....at individual levels i mean back home CDU ni cha kidini na CDM ni cha kisekula. Hii kitu imefafanuliwa over and over and over hapa jf ila mkiona imesahaulika mnairudisha.
 
Ujinga tu, kama huna hoja usiweke post, mbona hujasema CCM na SPD ya Ujerumani?
Acha ujinga, jenga taifa si kueneza uzandiki
 
Wadau,

Wakati wa Kampeni za uchaguzi nchini Ujerumani zikiwa zimepamba moto, tumeshuhudia muungano wa vyama kwa misingi ya itikadi za vyama hivyo. CDU cha Angel Merkel ambacho ni cha Kikristo, kinashirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa kikristo kikipambana na vyama vingine vya mrengo wa kati. Ikumbukwe kuwa CDU ndo chama rafiki cha CHADEMA na wamekuwa wakiitumia taasisi ya KAS kutengeneza vyama vibaraka ulimwenguni kote ambavyo vinafuata mrengo wa Kikristo. Kutokana na Katiba ya hapa Tanzania kutoruhusu vyama vya mrengo huo, tumeshuhudia CHADEMA wakitekeleza sera za CDU kwa kificho. kwa CHADEMA kuwa rafiki na chama cha kikristo na kutokana na chama hicho kuwa na mwelekeo wa kupendelea watu wa dini ya kikristo hasa katika kupanga safu ya uongozi na uteuzi wa nafazi za wagombea, je si wakati muafaka sasa wa kukifuta chama hiki? Tujiridhishe jinsi wajerumani wenyewe wanavyoelezea muungano wa vyama hivyo;

Neck-And-Neck Race Ups Grand Coalition Chances

A neck-and-neck race between Chancellor Angela Merkel’s center-right coalition and the center-left opposition parties increases the likelihood of a grand coalition in Germany, according to a poll published Tuesday.

Ahead of Sunday elections, the findings of Forsa institute indicate only two coalitions would have a workable majority.
First, a grand coalition between Ms. Merkel’s Christian Democrats, the Bavarian Christian Social Union sister party and the opposition Social Democrats would get a solid majority to run the next government.
A second possibility would be a coalition between the Christian Democrats and their Christian Social Union partner with the opposition Greens, but this is unlikely due to disagreement on issues like national security and the environment.
In Tuesday’s poll, Ms. Merkel’s present coalition with the pro-business Free Democrats secured 44% in combined support, based on 39% for the Christian Democrats and Christian Social Union, and 5% for the Free Democrats.
The Social Democrats of chancellor candidate Peer Steinbrueck, the Greens and Left party also had 44% in combined support. Of that, the Social Democrats had 25%, the Left party 10% and the Greens 9%.
The apparent stalemate comes as support slipped for Ms. Merkel’s coalition partner, the Free Democrats. At 5%, the party was one percentage point lower than last week, casting doubt on whether election day would see it meet the 5% threshold needed to enter parliament.
The euro-skeptic party Alternative for Germany remained at 3%, but Forsa said it is hard to predict turnout because voters aren’t openly expressing support for the new party.

Of cz wanafuata mlengo wa kikristo kwani hiyo ni siri? Hukumbuki lawama walizozipata ktk uchaguzi mkuu uliopita?

Kwani kuwepo kwa Dr Slaa kama katibu au kuwa mgombea wa Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA ilikuwa ni bahati mbaya. Hivi Dr Slaa ana CV gani? Kwanini hawamtaki yule kijana mbunge machachari wa CHADEMA wa kigoma? Kwa sababu hana mambo ya kikristo?

Watanzania mkiitaka Chadema ichagueni, lakini yatayowapata msilie wala msiseme hamkuyajua. UKRISTO ndio mbele katika CHADEMA.
 
Hint: mfano mimi na wewe tunapata urafiki kupitia kuishabikia timu fulani...timu hiyo ina mashabiki wa dini, kabila na rangi mbalimbali so Timu ndio imetuunganisha. CDM na CDU wanakutana katika Shirikisho la Vyama Vya Kidemokrasia Duniani ambapo kuna vyama vya kidini na kisekula....at individual levels i mean back home CDU ni cha kidini na CDM ni cha kisekula. Hii kitu imefafanuliwa over and over and over hapa jf ila mkiona imesahaulika mnairudisha.

Rudi shule na uandike upya.

KASOME JUU YA MUUNGANO WA VYAMA VYA KIKRISTO DUNIANI.

Ukubwa wake, na soma katiba ya CDU na fuatilia wafadhili wakubwa wa chama hicho. Usipopata niombe nikusaidie, lakini omba ruksa kwa Mod.
 
Hayo ni maoni yangu ni ukweli uliodhihirika. siku za nyuma cdm waliwaponda sana cuf na walifanya hivyo kwa sababu na malengo yao lakini ilipofikia mahala vyama vyote hivyo vinamsimamo mmoja kwenye particular issue siyo dhambi kabisa kuwa alliance kama walivyokuwa nayo na vilevile siku za mbele itawezekana kabisa kuwa na misimamo tofauti kabisa kwenye issue.
Inavyoonekana wewe ni muumini wa the 'little red book' ambayo hata wachina wenyewe hawatumii theory hiyo ya 'oppose what ever your enemy support and support whatever your enemy opposes'
Kuna siku itatokea hata cdm and ccm wakawa na msimamo mmoja over a particular national issue.

Acha nikukumbushe CCM ndiyo walikuwa wanakinadi chama cha CUF Kuwa ni cha kidini lakini cha ajabu leo wamefunga NDOA nacho,Hivyo rekebisha kumbukumbu zako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom