Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mkuu hongera sana kwa kuwaona hao manguli 👊....Hahaa wazazi wako wapo vizuri kwa kuhifadhi kumbukumbu ,hao wote nimewashuhudia uwanjani live ,enzi hizo luninga ni issue.
Ninachowashukuru wameyahifadhi magazeti yote ya zamani katika zile waraka ngumu zisizoingiza maji na mavumbi.....
Wakati wa likizo toka niko shule ya msingi kazi yangu nikusoma magazeti hayo ya Uhuru ,Mfanyakazi , Mzalendo,Majira ,Rai ,Rai ya Mwema n.k....
Kwa hiyo nimewasoma wachezaji wengi ijapokuwa sijawahi kuwaona kama akina Razzak Yusufu Carecca ,Sahau Kambi ,Lunyamila ,Malota Soma ,Edward Chumila ,Mwakuruzo ,Sanifu Lazaro ,Said Mwamba ,Masatu George , Kenneth Mkapa na yule Mkapa mwingine daaah yaani ukisoma habari zao kipindi hicho cha utoto mwili unasisimka kama unawaona vile ha ha ha ha 🤣