Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,395
- 11,580
🙂🙂🙂🙂🙂..... Caren Simba , alipona kujambia kwelikwa mzigo ule na kwa jinsi wanavyojiuza lazima kuna matajiri wamefika bei kitambo tu.
🙂🙂🙂🙂🙂..... Caren Simba , alipona kujambia kwelikwa mzigo ule na kwa jinsi wanavyojiuza lazima kuna matajiri wamefika bei kitambo tu.
Hahahahaha dear nitumie majina yao pm tuwaumbue wote hao wanafki bazazi wanataka kuona watu wanafukunyuana tope wakitoka hapo waanze mahubiriLeo nimejua uhalisia wa Waja humu ndani, na muache UNAFIKI, Giza na Mwanga havikai Pa1.
Msikimbie vivuli vyenu, na ninakuja kuwaanika hapa wote..
Tumbua Tumbua WANAFIKI. 😂😂😂😂
Ni huzuni kwa kweli ila kuna mtu kazungumzia quality nakubali wawe professional wavune mapesaBangbros ime waharibu watu 😁
😂😂😂 usijariHahahahaha dear nitumie majina yao pm tuwaumbue wote hao wanafki bazazi wanataka kuona watu wanafukunyuana tope wakitoka hapo waanze mahubiri
Piemugi plizHii haihitaji maelezo, yafaa ujionee mwenyewe. Iko 🔥🔥🔥
Jamani hadi nyie watakatifu? Giza na Mwanga havikai Pa1.Piemugi pliz
Tunataka kukemea haya majambo atiJamani hadi nyie watakatifu? Giza na Mwanga havikai Pa1.
😂😂😂
Aaah wapiii!! 😂😂😂Tunataka kukemea haya majambo ati
Cjaiona, nasemea madaLamomy ndo nini yani?
Em nipe kwanza hiyo connection ndo nijiandae kupanda kizimbani nione namtetea vipi dr Mariposa na uzi wake..!! 😹😹😹
🤣 unaulizia nini?🫢Ipo wapi!?
Kweli nimezeeka,sijaona mpaka sasaIla konde bhana, ana record yeye mwenyewee.
😂😂😂
Huna watu? 😂😂😂 poleeeKweli nimezeeka,sijaona mpaka sasa
Ukitaka kujionea video tajwa, ya tembo, andika neno 'connection' kwa herufi kubwa nami bila ajizi nitakutumia PM.
Kazi ni kwako 😎