Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

Status
Not open for further replies.
Mada iko sawa, hajawatuma kutuma sex video yao..!!

Macho kazi yake kuona, iwe kwa mwanamke au mwanaume..!!

Hapo waliochafuka ni hao mapimbi wawili sio dr Mari.. kwani yeye yupo kwenye hiyo video?

Mimi hata humu mwanamke zikivuja video au pic natazama na naangalia na nacheka sababu lengo la ku record si tuone 😹
Mpuuzi huyo yaan watu wamanuane wenyewe watuletee kibarazani tushindwe kutazama eti tunawadhalilisha, alivyokua anajifanya Mia Khalifa hakujua kama anajidhalilisha?
 
Hili swali huwa najiuliza sana.

Ninaamini wakiingia huko wanafurumusha mabaki ama kuichokoza njia hali inayopelekea yatoke huko yaliko.

Ni ngumu kuaminishwa kuwa mtu anayeingia huko anatoka akiwa msafi.
Achana na mambo ya kujiuliza, kujiuliza sana ndio mwanzo wa kujaribu, pilipili haipo shambani mwako yakuwashia nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom