Kwa CV hii ya Dkt. Mashinji simuoni wa kumfikia pale Lumumba, jamaa kapiga shule namtabiria uteuzi wa mapema

Msomi anapoingia kwenye siasa anakua ameshindwa kuitumia elimu yake kumnufaisha na kusaidia wengine akaona atumie njia mbadala kutafuta mkate wa watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM mkitaka CDM iyumbe walau kidogo its very Simple...mnunueni Mbowe!! Hawa wengine mnamaliza hela za umma bure!!
Mbowe hana madhara yuko na kijana wake Ole sabaya pale Hai, watamalizana tu!
 
Hivi mashini ni dokta wa filosofia au MD?

Medical Doctor (MD) by Profession na pia Dr (PhD). 2010 - 2016 - Chuo Kiuu huria, PhD ya Uongozi. Unaweza kuargue the authenticity ya "Chuo Kikuu Huria" but atleast aliisotea na kuipata na sio kama wale wanaotunukiwa bure bwerere au wale wanaozipata within one year kupitia online studies
 
CV kubwa halafu ni mwanasiasa!!
CV kubwa angekuwa Petrobas,WHO huko.
 
Na ccm je ukilinganisha hakuna anayemfikia cv yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe hana madhara yuko na kijana wake Ole sabaya pale Hai, watamalizana tu!
CCM watatumalizia fedha za walipa kodi, taasisi huwa haifi wala kudhoofika kwa kuwanunua makada wao....hizo sera ama mikakati ni ya kijima.
 
Mbowe hana madhara yuko na kijana wake Ole sabaya pale Hai, watamalizana tu!
Huyo mwimba mapambio mfululizo..
Mzee wa Kusifu ba kuabudu...badala ya kumwimbia Mwenyezi Mungu eti unamwimbia binadamu mwenzako kisa NJAA.
 
 
\
Hazina sawa lakini msaliti, huyu hakumbuki kama TL kamininiwa sababu yao leo wenyewe wanafata vyeo mwenzao anao ulemavu wa kudumu. Hawa watu walifaa kupigwa risasi ili waone uchungu wa kuuza mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…