Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,168
- 167
Mkuu Masaningala .... hili siyo jambo la katiba???Kwa taarifa kama CDM itachukua nchi, vyeo havitakuwa vya kupeana kama ilivyo sasa na serikali ya magamba. Mawaziri hawatakuwa wanasiasa bali wataalamu wa maeneo husika. Nafasi zote za juu kuanzia uwaziri zitatangazwa na watu watatakiwa ku apply na watafanyiwa interview ili kupata mtu stahiki kwa nafasi sahihi.
YES BUT NOT ALWAYS.Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?
Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?
Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.
Wewe una shahada gani wakati hata hatima yako ya chuo huijui?Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?
Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?
Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.
Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?
Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?
Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.
Mwinyi anadiploma na hana degree mbona aliweza kuwa rais wa nchi? Acha majungu! 2015 chagua CDM
kwa hiyo akili ndogo (Mbowe) inaongoza akili kubwa (Prof. Safari) siyo by Pastor Msigwa
Ujua Kikwete degree yake ya Social Economy alipata GPA ya ngapi...better keep ur bowl closed
Emmanuel Nchimbi, alisomea wapi UPOLISI??? Uongozi una vigezo vingi wewe! Jk Kiketwe alisomea wapi URAIS? Au huijui degree yake nini ni AIBU! Ccm hoyee.
Kwa taarifa kama CDM itachukua nchi, vyeo havitakuwa vya kupeana kama ilivyo sasa na serikali ya magamba. Mawaziri hawatakuwa wanasiasa bali wataalamu wa maeneo husika. Nafasi zote za juu kuanzia uwaziri zitatangazwa na watu watatakiwa ku apply na watafanyiwa interview ili kupata mtu stahiki kwa nafasi sahihi.
Ndio maana CHADEMA wana makelele mengi! Inanikumbusha ule msemo wa 'Debe tupu'
Peoplzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz! Elimu kwanza jamani.
Hii CV ndiyo yenyewe kwa kusimami Maliasili na Utalii kwani katika Biblia - Zaburi 24:1-2 inasomeka:
"Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha."
WanaJF!
Hapa nchini Tanzania kuna sekta fulani fulani ambazo ni nyeti na zinapaswa kupewa uangalizi wa kina ili ziweze kuleta tija kwa taifa. Mfano tu wa sekta hizo ni sekta ya maliasili na utalii, sekta hii kama ikiweza kusimamiwa vizuri, sio tu itaipatia serikali mapato yake, bali itaweza vile vile kuitangaza nchi yetu kote duniani ili ulimwengu uweze kuitambua Tanzania.
Sasa katika suala zima la kuisimamia hii sekta, na kwa kasi ambayo CHADEMA wanayo katika kutwaa dola, ni vyema kama wananchi tukijadili uwezo wa watu wanaopewa dhamana katika usimamizi wa sekta zetu, kwani wote tunafahamu umuhimu wa raslimali watu katika kusukuma gurudumu la maendeleo kokote pale duniani.
Leo namleta kwenu Mhe Msigwa ambae ni mbunge wa jimbo la Iringa mjini na pia ni waziri kivuli wa maliasili na utalii, lakini pia mchungaji Msigwa ndiye anae tarajiwa kupewa dhamana ya kuongoza wizara hii nyeti ya maliasili na utalii endapo CHADEMA itatwaa dola, sasa kwa CV yake ndugu Msigwa na majukumu anayo tarajiwa kukabidhiwa, sidhani kama kweli atamudu katika utendaji.
kwani huu umaarufu alioupata wa kuropoka kuwa Kinana ni jangili sio kigezo toshelezi kusema Mchungaji Msigwa ni mtu sahihi kwenye sekta ya maliasili na utalii, CHADEMA tupeni mtu mwingine Msigwa ni mwepesi mno!!
CV ya mchungaji Msigwa ni hii hapa;
School Name/Location Course/Degree/Award All Africa Bible College, South Africa Sangu Secondary School Magoye Primary School
[TH="align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]
[TD="align: center"]B.Ministry[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Company Name The Parliament of Tanzania Member - Iringa Urban Constituency Vineyard Church National Coordinator
[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
Hivi kwanini wabunge wengi wa CHADEMA hawana shahada?
Hivi tungesema leo kwenye katiba mpya wabunge angalau wawe na shahada hawa wabunge wa CHADEMA wangechomokea wapi?
Angalizo; Elimu ni muhimu na ndio maana watoto wetu wakipata sifuri tunailaumu serikali! na hatutaki hao walio pata sifuri watuongozee nchi yetu.
Umenena vema mkuu,hawa magamba tutawapa darasa kila siku hapa.system inayotumiwa na CCM HAITATUMIWA NA CDM KAMWE,ndio maana wametufikisha hapa tulipo wizara nyingi kuna maprofesa na madaktari feki unategemea wataleta matokeo gani???Rejea kitabu cha Msemakweli hivi si walisema wataenda mahakamani kesi inaendeleaje???teh ,teh,teh.Kwa taarifa kama CDM itachukua nchi, vyeo havitakuwa vya kupeana kama ilivyo sasa na serikali ya magamba. Mawaziri hawatakuwa wanasiasa bali wataalamu wa maeneo husika. Nafasi zote za juu kuanzia uwaziri zitatangazwa na watu watatakiwa ku apply na watafanyiwa interview ili kupata mtu stahiki kwa nafasi sahihi.
Nami niulize maswali yafuatayo:
1. Kama Dr Magufuli alifanya vizuri kwenye wizara ya uvuvi, ni kwa sababu amesomea uvuvi? Sasa hivi anafanya 'vizuri' kwenye wizara ya ujenzi, ina maana amesomea mambo ya ujenzi?
2. Kama Dr Mwakyembe akifanya vizuri kwenye sekta ya usafirishaji ni kwa sababu amesomea usafirishaji?
Mimi nadhani rudi, kajipange upya ndiyo uposti tena uzi wako. Your reasoning doesn't hold water! "If the theory does not match the practice, ignore the theory."