ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #81
Kama wewe mbumbumbu una upepo , Robert Einstein atasemaje? π€£π€£π€£π€£π€£Wakati Mwenyezi Mungu anatupa wengineo UPEO MKUBWA / AKILI NYINGI na MAARIFA haya TUKUKA Wewe uliwa wapi?
Ndio keshatoboa hivyo wanaosoma wa kuungaunga kutokana na hali zao kiuchumi au wazazi wao huwa wanakuwa wazuri sana kichwani na wenye machungu kwenye uzalendo na kujenga hojaNilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake π€£π€£π€£π€£π€£
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
WAtu masikini siku zote wanaona viongozi ndio chanzo cha matatizo yao huishi kwa kulaumu ,kugombanisha watu, fitina na chukiNilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake π€£π€£π€£π€£π€£
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Wewe hujielewi kabisa π―, wakili Boniface Mwabukusi kaonyesha jamii ya wasomi Tanzania njia na kuwafumbua macho ndondocha kama wewe, ukitoa baadhi ya mawakili ambao ni wazuri kama akina Tundu Lissu, Rugemalila nshala, mabeleka etc majority ya mawakili Tanzania ni wachumia tumbo, mfano issue ya bandari kila mtanzania alijuwa kinachoendelea juu ya hao majambazi yenu, Elimu siyo kwenda vyuo vikuu tu unavyojua wewe, mfano Chuo kikuu cha Dar es salaam hadhi yake imeshuka sana hakipo Tena kwenye ubora kwa vyuo vya Africa na Dunia kwa sababu ya wanasiasa wengi wanachakachua degrees zao hapo chuoni mfano Mwigulu Nchemba anasema ana PhD ya uchumi muda mwingi yuko kwenye siasa muda wa kusoma na kafanya research hakuna anatumia hao maprofessa kumufanyia, yeye ana show up kwenye presentation kudefend hiyo proposal yake wakati huo ameshawajaza mapesa hao watu. Ndo maana anapwaya sana kwenye utendaji kazi wake. Mtu mwingine ni Prof Kitirya Mkumbo huyu naye ni kilaza sana ndo maana JPM aliwaona vilaza na na kuwatoa kwenye baraza lake la mawaziri, Samia aliporudi akawarudisha ndo maana unaona matokeo ya ovyo kwenye uchumi na biashara na uwekezaji.Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake π€£π€£π€£π€£π€£
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Ukilinganisha mapito alie juu sasa hata form 4 hakufaulu....leo ana Phd 5....na ndie Chief Mkuu wa TanzaniaNilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake π€£π€£π€£π€£π€£
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Ulikuwa unamtaka huyu kuku wa kizungu anayeuawa na utitiri! Tunalitaka jembe la kupambana na vibaka wa mbogax2 wakiongozwa na guberi kutoka kizmkazi!! Your days are now numbered!.Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake π€£π€£π€£π€£π€£
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Huyu Mwabukusi kachaguliwa na wanasheria vijana wadogo kiumri, kachaguliwa kishabiki.Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake π€£π€£π€£π€£π€£
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Walimpigia kura ya kumchagua Mwabukusi mmoja wao ni huyu hapa, bwana mdogo kwa kuyasoma maandishi yake tu.Ulikuwa unamtaka huyu kuku wa kizungu anayeuawa na utitiri! Tunalitaka jembe la kupambana na vibaka wa mbogax2 wakiongozwa na guberi kutoka kizmkazi!! Your days are now numbered!.
Tunahitaji jembe la kukamata majambazi yanayoteka raia yakijifichika kwenye kivuli cha kofia za polisi
Muda wenu kweshney!
Anairudisha nchi kwenye uchumi wa juu kati kwa kasi kubwa. Samia kwa kasi hii atakuja kuwa rais aliyefanikiwa kuliko wote watano waliomtangulia.Ukilinganisha mapito alie juu sasa hata form 4 hakufaulu....leo ana Phd 5....na ndie Chief Mkuu wa Tanzania
Unamaana kama jiwe alivyovunja kioo cha dirisha la bweni lake na kutoroka!Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake π€£π€£π€£π€£π€£
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Hebu wewe mwenye elimu tuonyeshe vizuri alivyoshindwa hiyo kesi ukirejee hukumu iliyotolewa. Kama mahakama ingekuwa inasimama yenyewe hukumu ingekuwa tofauti maana hata hiyo mahakama iliona mapungufu ya mkataba wa bandari? Jiulize kwanini rufaa ya hii kesi inapigwa danadana mpaka leo? Hao TLS wenyewe na uchawa wao waliona mapungufu wa huo mkataba wa bandari.Huyu Mwabukusi kachaguliwa na wanasheria vijana wadogo kiumri, kachaguliwa kishabiki.
Hiyo elimu yake ni ushahidi wa kwanini alishindwa kesi ya TPA suala la DPW. Shule ndogo ya sheria.
Lakini huwezi kuwalaumu wanasheria waliompa kura, wengi wao ni hawa watoto wa instagram, wanasheria vijana wasio na maono mapana juu ya uendeshaji wa nchi.
Huyu ndiye hasa mpambanaji wa kweli. Kama alipitia njia hii hata kufuzu mafunzo ya sheria na kupata leseni ya uwakili, basi hiki ni kichwa kwelikweli!Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake π€£π€£π€£π€£π€£
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Wee popoma kweli tabia za kikeiNilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko hapo kwenye CV yake, ni mtu amekulia mtaani Kwa wahuni, kafanya kazi za kihuni na ametokea kwenye familia ya maisha ya tia maji tia maji. On top of that Elimu yenyewe ni ya kujenga unga.
Lakini licha ya shida zote hizo alipambana mtaani na Sasa ni Wakili na Rais wa TLS.
Kimsingi ni wa kumsamehe na kumhudumia, hakupata malezi stahiki ya familia na wazazi wanaowajibika, just imagine mshauri wake ni Mdude Nyagali na ndio Kampeni Meneja wake π€£π€£π€£π€£π€£
But all in all hongera zake Kwa spirit ya kupambana.
View attachment 3060291
My Take: Soma hapa Kuelekea 2025 - Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati
Meanwhile ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-MrbCsKbD-/?igsh=NGxhYmhqZmJ0MXN6
Mkataba ungekuwa na mapungufu Adani asingekubaliwa kuwekeza hapo hapo bandarini.Hebu wewe mwenye elimu tuonyeshe vizuri alivyoshindwa hiyo kesi ukirejee hukumu iliyotolewa. Kama mahakama ingekuwa inasimama yenyewe hukumu ingekuwa tofauti maana hata hiyo mahakama iliona mapungufu ya mkataba wa bandari? Jiulize kwanini rufaa ya hii kesi inapigwa danadana mpaka leo? Hao TLS wenyewe na uchawa wao waliona mapungufu wa huo mkataba wa bandari.
Unajifanya unajua kumbe ni bumunda tu kama mabumunda mengine
ππwengi wetu tumetokea maisha kama hayo, tumeishi maisha magumu, lakini Mungu ametusaidia. ninyi wa geti kali hamjui maisha mbona, na wengi wenu mnavaa pampas hadi ukubwani.