Kwa dalili zote hizi, bado tu huamini kuwa Yesu Yu karibu kurudi?!

Kwa dalili zote hizi, bado tu huamini kuwa Yesu Yu karibu kurudi?!

Ngano za abunwas. Mara yuko hapa. Mara yumo mioyoni mwa wati, mara mbinguni. Upuuzi na uzwazwa mtupu. Kwani lazima aje? Mbona alisema kuwa hakutumwa ila kwa makabila 12 ya israel? Simpo. Ajabu, hata hao wayahaudi aliodai alitumwa kwao walimkataa na wala hawamngoji kama mazwazwa wetu watumwa wa kiakili wa kujitakia.
Badala ya kujiongezea dhambi juu ya dhambi, ukisoma Biblia ukashindwa kuielewa, uliza maswali, tutajitahidi kukupa majibu. Biblia sio gazeti la udaku; usipoongozwa na Roho Mtakatifu, unaweza kutoka kapa.

Yesu alisema alitumwa kwa kondoo waliopotea wa Israeli katika huduma yake ya duniani (Mathayo 15:24), lakini baada ya kufufuka aliwaagiza wanafunzi kwenda kwa mataifa yote. Na kuhusu kurudi kwake, Biblia iko wazi: “Huyu Yesu... atakuja jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni” (Matendo 1:11). Yesu ni Mungu. Mungu ni omnipresent. Yuko mahali pote lakini haonekani physically. Lakini siku atakayokuja Yesu atakuja physically pamoja na malaika. Mungu akusaidie uamini.
 
Sasa si bora asije kama kuja kwake kunaambatana na mateso kwa wanadamu? Yaani kuja kwake ndo vita, majanga ya asili, njaa viongezeke?
 
Sasa si bora asije kama kuja kwake kunaambatana na mateso kwa wanadamu? Yaani kuja kwake ndo vita, majanga ya asili, njaa viongezeke?
Anakuja kututoa kwenye vita, majanga na njaa na kutupeleka mbinguni ambapo mambo hayo hayatakuwepo milele. Hizo dalili ni ishara kwamba anakaribia kuja ili tujiandae kwa kuishi maisha matakatifu (Ebr 12:14) kwakuwa watakaonyakuliwa siku ya ujio wake ni watakatifu tu. Umenipata mkuu?
 
Badala ya kujiongezea dhambi juu ya dhambi, ukisoma Biblia ukashindwa kuielewa, uliza maswali, tutajitahidi kukupa majibu. Biblia sio gazeti la udaku; usipoongozwa na Roho Mtakatifu, unaweza kutoka kapa.

Yesu alisema alitumwa kwa kondoo waliopotea wa Israeli katika huduma yake ya duniani (Mathayo 15:24), lakini baada ya kufufuka aliwaagiza wanafunzi kwenda kwa mataifa yote. Na kuhusu kurudi kwake, Biblia iko wazi: “Huyu Yesu... atakuja jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni” (Matendo 1:11). Yesu ni Mungu. Mungu ni omnipresent. Yuko mahali pote lakini haonekani physically. Lakini siku atakayokuja Yesu atakuja physically pamoja na malaika. Mungu akusaidie uamini.
Siwezi kuuliza matapeli na wajinga wasio na elimu yoyote kama akina Gwajima eti wanifafanulie kitabu cha hadithi za kawaida. Sihitaji kuwa mpumbavu kiasi hiki. Ukiuliza walisomea wapi wanakwambia wametokewa na roho. Kama roho wenu ni wa kweli ongea naye anitokee mimi.
 
Hujajibu maswali hapo, balozi amepotea miezi 11 akiwa nyumbani kwake je yuko wapi?

Baada ya October 29 tuliambiwa na jaji Chande watu 700 walipotea hadi leo hawajulikani walipo?

Leo tunavyoongea kuna balozi tangu August 25 yuko mateka utasemaje kuna amani ?

Hao wananchi walio salama ni wale walioamua kuwa chawa na mazuzu kukubali kuburuzwa wanaopinga wanapotezwa na kukimbia nchi.

Hujasoma Warumi 1:22?

Halafu ukitumia AI kutafuta majibu, usicopy na kupaste utajiaibisha. Tazama vizuri kwenye user interface ya AI unayotumia kuna maneno yameandikwa: "AI can make mistakes. Check important info."
Sasa wewe umecopy na kupaste mpaka na Kiswahili kibovu!
Haya maneno uliyoyacopy ni Kiswahili cha Pemba au:
"ushahidi wa kihistoria unaishia kwenye uwepo yake.."
"Kitaaluma, uwepo vya maeneo.."

Naomba uiandike upya hiyo hoja yako kwa maneno yako mwenyewe halafu uilete hapa mjadala uendelee
Ndugu yangu, nashukuru kwa mrejesho wako na kwa kunirekebisha pale ambapo makosa madogo ya uandishi (typos) yalijitokeza kwa haraka wa kuchapa. Ni kweli, "uwepo wake" na "uwepo wa maeneo" ndivyo ilivyopaswa kuandikwa. Hata hivyo, kufifisha mjadala wa kitaaluma kwa sababu ya makosa ya typo ya vidole ni kukimbia kiini cha hoja (Ad Hominem / Red Herring Fallacy).
Kuhusu maelezo yangu ya kusoma seminari: Lengo langu halikuwa kujikuza au kudai najua sana kuliko kila mtu. Nilichotaka ni kukupatia mwangaza wa muktadha wangu, ili utambue kuwa hujadiliani na mtu asiyejua kitu au asiyefuatilia mifumo ya dini hii. Nilitaka uelewe kuwa naifahamu Biblia vizuri kutoka ndani ya mfumo wake wa kiimani kabla sijahamia kwenye uwanja wa sasa wa kiuchambuzi.
Kuhusu dhihaka yako juu ya matumizi ya AI: Kwanza kabisa, teknolojia hii imewekwa ili itumiwe na kila mtu kama zana ya kurahisisha kazi na kupanga mawazo, kama vile unavyotumia injini ya Google au kikokotoo (calculator). AI haizalishi uelewa kichwani mwa mtu; ili uweze kuhoji, kuchambua, na kuweka hoja za kitaaluma za Akiolojia na Historia ya Kale, lazima uwe unazielewa wewe mwenyewe kwanza kichwani kwako ili uweze kuziwasilisha. Kujificha nyuma ya kisingizio cha 'AI' au makosa ya chapa ili usijibu hoja za msingi ni mbinu ya kizamani ya kukimbia mjadala. Lugha ni chombo cha kufikisha ujumbe, na ujumbe umefika.
Kuhusu matumizi ya vifungu vya imani kama Warumi 1:22 au hoja ya "kumjua Mungu," naomba nikumbushe kuwa hatupo kwenye mahubiri ya kanisani au ibada. Mjadala huu tangu mwanzo ulihama kutoka kwenye imani na kuingia kwenye Akiolojia, Historia, na Uhakiki wa Maandishi ya Kale. Vigezo vya sayansi ya historia havipimwi kwa mistari ya teolojia ya andiko lenyewe linalohakikiwa.
Ili kurahisisha mjadala na kuondoa visingizio, naweka upya hoja zangu tatu kwa maneno yangu yaliyo nyooka kabisa ili ujibu kiini chake:
  1. Muundo wa Biblia: Kuwa na mkusanyiko wa vitabu (anthology) hakufanyi yaliyomo kuwa historia otomatiki. Kila andiko ndani ya Biblia lazima lipimwe kwa vigezo huru vya kihistoria, kama inavyofanywa kwenye maandiko mengine yote ya kale (kama vile maandiko ya Homer).
  2. Akiolojia na Fallacy of Composition: Uwepo wa maeneo halisi (kama Yerusalemu au Babeli) au wafalme halisi (kama Koreshi) haumaanishi kuwa matukio yote ya miujiza yaliyotajwa humo ni ukweli wa kihistoria. Hata riwaya za kihistoria hutaja miji halisi (kama London au Troy) lakini wahusika wake au miujiza ya miungu ndani yake inabaki kuwa fasihi ya kale. Wasomi wa akiolojia (kama Prof. Israel Finkelstein) wamethibitisha kuwa hakuna ushahidi wowote wa kiakiolojia nchini Misri au rasi ya Sinai unaounga mkono matukio kama Gharika la Nuhu, Mnara wa Babeli, au Tukio la Kutoka (Exodus).
  3. Yesu wa Kihistoria vs Yesu wa Imani: Wanahistoria wa kujitegemea (akiwemo Prof. Bart Ehrman) wanakubali uwepo wa Yesu kama mhubiri wa karne ya kwanza. Lakini ushahidi wa kihistoria usio wa kidini (kutoka kwa Flavius Josephus au Tacitus) unaishia kwenye uwepo wake kama mwanadamu na kuuawa kwake. Hakuna chanzo hata kimoja cha nje ya Ukristo cha karne ya kwanza kinachothibitisha miujiza yake, uzazi wa bikira, au kufufuka kwake. Hayo yanabaki kwenye uwanja wa imani ya kidini (theology), sio kwenye ukweli wa kihistoria unaothibitika (historical facts).
Hoja hizi tatu za kitaaluma ziko mezani, na ni wewe unapaswa kuzijibu kwa hoja za kihistoria na kiakiolojia, badala ya kushambulia makosa ya chapa au kutoa mistari ya Biblia. Mjadala upo wazi.
 
Ngano za abunwas. Mara yuko hapa. Mara yumo mioyoni mwa wati, mara mbinguni. Upuuzi na uzwazwa mtupu. Kwani lazima aje? Mbona alisema kuwa hakutumwa ila kwa makabila 12 ya israel? Simpo. Ajabu, hata hao wayahaudi aliodai alitumwa kwao walimkataa na wala hawamngoji kama mazwazwa wetu watumwa wa kiakili wa kujitakia.
Umesema kweli kabisa mkuu. Hoja yako imegusa mzizi wa tatizo la watu wanaosoma maandiko kwa kukaririshwa kiibada.
Kwenye mjadala wangu naye, alianza kwa kutumia jina la mwanasayansi Francis Collins kama ngao ya kujifichia (Appeal to Authority). Nilipompa majibu thabiti yanayobomoa hoja hiyo, akakimbilia kulalamikia matumizi ya AI na makosa madogo ya chapa (typos).
Sasa hivi anapokabiliwa na hoja zako, anakimbilia visingizio vya "kuongozwa na Roho" na kufanya mahubiri. Hili ndilo anguko lao kubwa la kimantiki: wanapozidiwa kete kwenye sayansi ya historia na akiolojia, wanakimbilia kwenye madai ya kiroho yasiyoweza kuthibitika (Subjective Claims) ili kukwepa uhakiki. Hawawezi kutofautisha kati ya taaluma thabiti ya kiakademia na hadithi za kufikirika. Kila kukicha jamaa anahamisha goli kwa sababu hana ubavu wa kusimama kwenye uwanja wa hoja za kiyakinifu. Umemweka pabaya sana!

Kama uko tayari kutubu na kumpokea Yesu atawale maisha yako, tafadhali omba sala hii ya toba kwa moyo wa dhati:

"Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na nimeamua kuziacha kabisa. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen"

Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha matakatifu hadi Yesu atakapokuja. Usiache pia kujiunga na Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu ili ujifunze jinsi ya kuenenda katika maisha mapya ya wokovu. Ubarikiwe sana
Sala ya toba bila moyo wa utayari ni utani tu, right now am in the midst of nowhere, f*ckin b'ches from time to time, thanks to Psalm_27 ule ujumbe wa ukombozi wa kristo msalabani nimeuelewa vizuri now am workn on it, step by step nitafanikiwa🙏
 
Sala ya toba bila moyo wa utayari ni utani tu, right now am in the midst of nowhere, f*ckin b'ches from time to time, thanks to Psalm_27 ule ujumbe wa ukombozi wa kristo msalabani nimeuelewa vizuri now am workn on it, step by step nitafanikiwa
Be blessed mkuu...
 
Umesema kweli kabisa mkuu. Hoja yako imegusa mzizi wa tatizo la watu wanaosoma maandiko kwa kukaririshwa kiibada.
Kwenye mjadala wangu naye, alianza kwa kutumia jina la mwanasayansi Francis Collins kama ngao ya kujifichia (Appeal to Authority). Nilipompa majibu thabiti yanayobomoa hoja hiyo, akakimbilia kulalamikia matumizi ya AI na makosa madogo ya chapa (typos).
Sasa hivi anapokabiliwa na hoja zako, anakimbilia visingizio vya "kuongozwa na Roho" na kufanya mahubiri. Hili ndilo anguko lao kubwa la kimantiki: wanapozidiwa kete kwenye sayansi ya historia na akiolojia, wanakimbilia kwenye madai ya kiroho yasiyoweza kuthibitika (Subjective Claims) ili kukwepa uhakiki. Hawawezi kutofautisha kati ya taaluma thabiti ya kiakademia na hadithi za kufikirika. Kila kukicha jamaa anahamisha goli kwa sababu hana ubavu wa kusimama kwenye uwanja wa hoja za kiyakinifu. Umemweka pabaya sana!

Nimekimbia wapi. Nilikuambia uiandike hoja yako kwa maneno yako mwenyewe halafu uilete hapa tuijadili, umegoma. Sasa unataka mimi nijibizane na AI isiyojua hata KIswahili sanifu. What a waste of time!
Napaswa kuutumia muda wangu vizuri maana nyakati hizi ni za uovu. (Waefeso 5:16)
 
Umesema kweli kabisa mkuu. Hoja yako imegusa mzizi wa tatizo la watu wanaosoma maandiko kwa kukaririshwa kiibada.
Kwenye mjadala wangu naye, alianza kwa kutumia jina la mwanasayansi Francis Collins kama ngao ya kujifichia (Appeal to Authority). Nilipompa majibu thabiti yanayobomoa hoja hiyo, akakimbilia kulalamikia matumizi ya AI na makosa madogo ya chapa (typos).
Sasa hivi anapokabiliwa na hoja zako, anakimbilia visingizio vya "kuongozwa na Roho" nnA
Nakubaliana nawe. Kama ilivyo dhana ya uungu na ufunuo kwa watu kama waandishi wa biblia na Mohamed, ni utapeli mtupi. Wahusika wanatumia vitu visivyoweza kuitwa vikakana na kuwapata mazwazwa wenye uvivu wa kufikiri na kukosa critical mind ya kuhoji na kuchambua. Hivyo, huna haja ya kupoteza muda na mawazo na watu waliofungiwa kwenye vichwa na miili yao.
 
You speak of having a “critical mind,” but a genuinely critical mind should be able to distinguish between challenging a belief and insulting the people who hold it. Calling believers “fools,” “lazy thinkers,” or people with “closed minds” does not demonstrate a critical mind; it is a personal attack, and it also violates the platform’s rules against insulting others.

A critical mind questions ideas rigorously; it does not need to demean people to defend its conclusions.
 
Arudi tu nae sasa, tushachoka kusikia yuko karibu, yuko karibu, karibu na wapi?
Akirudi leo, una uhakika utakuwa miongoni mwao watakaonyakuliwa?
 
You speak of having a “critical mind,” but a genuinely critical mind should be able to distinguish between challenging a belief and insulting the people who hold it. Calling believers “fools,” “lazy thinkers,” or people with “closed minds” does not demonstrate a critical mind; it is a personal attack, and it also violates the platform’s rules against insulting others.

A critical mind questions ideas rigorously; it does not need to demean people to defend its conclusions.
I fully concur with you. Sometimes, many times, one gets the answers even opinion based on the premises of his or her argument. I stand to be corrected. Apart from using fabrications, intimidation, manipulations and myths, what else do alien and colonial religions use? I can simply say that based on the historicity of the alien religions, all they did is but dupe our myopic people who ended up being enslaved culturally. More agonizingly, the victims of these religions stopped to think by themselves and waited for Jesus and the likes to come and save them. How, for example, on earth, can one believe that when one dies and enters the Muslims' jannah or paradise will be given tens of women. What for? What will women be given? So, too, it applies to Christianity that promises the paradise in which people will dance with God as if God is dancer not to mention other hooeys, they pummel our gullible people with. Saying people are lazy when it comes to thinking and questioning is not an insult but a very bitter truth. Had I had time, I would unpack even more nuggets of wisdom. Unfortunately, though, I have a lot to do and think about. Methinks that is enough for today.
 
Back
Top Bottom