Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

Oh ndo nmekaa sasa eheeee kumbe humu watu wengi mnapata wapenzi sijui wachumba na wanawatoa kafara mhhhh sijui lina ukweli hili...

Ohoooo lord wewe bint flower uko serious kweli?
 
Yesu anatabasamu baada ya kuona pisi kali imetubu.

Mkuu naomba tuzungumze
 
Ni ujinga wa kiwango Cha juu kutegemea miujiza.
Nikuulize swali ?
Hivi ukiwa porini ukakutana na Simba utakaa na kutulia kumuomba Mungu akusaidie ili Simba asikurarue ?
Tumia Akili na maarifa kama binadamu wengine wanavyotumia Akili zao kupambana na Changamoto za huu ulimwengu. Mungu hakuleta Chapati na maandazi Ila Yeye alituletea mfano lakini kwa sababu na sisi Binadamu ni Waumba wenza tukatafuta maarifa tukawa tunatumia ngano kutengeneza Chapati, maandazi, mikate, keki nk 😂😂😂
 
Trupachaaaaa haimbergeeee leta leta damu binti mizimu inakutaka puff pufu pargimiti omboloooshwaaai
 
I don't judge, but maoni yangu ungetuliza kichwa hauko sawa. Alafu sio kila kitu uandike huku unafanya watu waone una shida sehem.
 
Mungu akulinde
 
Ni kweli hata jana walikuja
Nikushauri kitu mdogo/dada angu hunu jf kama ni msaada kupata ni 0.01% inayobaki yote log out go and figure out your self
The more unavyopost ndo the more unazidi kupata damage
Some years baki nilishapataga msongo mkali wa mawazo na sikua najua namna ya kutatua na wala wa kumwambia
Naam nikaja jf ndo niliambulia maumivu kuliko ya awali…. In here no body gives the f… about you or anything
Unapopitia matatizo hata unachoandika muda mwingine kina kua na ukakasi kwa sababu unatamani watu waelewe how you feel lakin unashindwa
Nilitoka jf nikajiuliza hivi source kubwa ya matatizo yangu ni ipi nikaanza kushuhulikia tatizo
Nililog out kama 2yrs hivi
Now nikirud kusoma zile nyuzi natamani kujizaba vibao
Now nipo strong na nimejua jf sio sehem salama kwa matatizo ya mtu yoyote yule
CHUKUA MUDA SOMA NYUZI ZA WATU WANAOHITAJI MSAAADA utaona jinsi watu wanavyocoment,
Just log out,katatue shida yako nje ya hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…