Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

Israel? Nani alikuambia wa Israel wanakata visimi vya wanawake? Au kuvivuta na kuwa na urefu wa sm 10?
 
Rwanda ipo tu kama 8832 kj ni sawa na kikosi kimoja tu. Mengine awasumbue wahutu wenzie na kuwaua lkn hata Kenya inamtapisha kinyesi
Labda kwa nchi zenye vurugu kama Drc lkn akiivamia hata Comoro wanamchoma figo fasta
Israel ni nchi ndogo sana kwa ukubwa wa eneo la kijiografia, na imezungukwa pande zote na nchi maadui wakubwa ambao ni majirani zake. Licha ya udogo wake wa eneo, Israel imewahi kupigana vita na kuwashinda karibia majirani zake wote wanaomzunguka. Na mpaka leo, majirani zake karibia wote hawataki tena kujiingiza kwenye ugomvi wa vita vya muda mrefu ilivyopo kati ya Israel na Gaza kwa kuogopa kipigo kutoka kwa Israel.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.
 
Niliposema 8832 kj ulielewa?
 
Majirani wa waisrael ni watu dhaifu, kiufupi Israel hajawai pata mpinzani anaejiweza toka alipo tangaza nchi ile 1948 , ni kama sasa tu anapewa silaha za kisasa anapambana na wana mgambo ambao hawana hata air defense unategema nini hapo?
 
Niliposema 8832 kj ulielewa?
Nimekuelewa ndiyo.
Kumbuka: Vita vya siku hizi vinapiganwa kisayansi zaidi, unaweza ukawa na Wanajeshi wapiganaji wapatao 20,000 lakini unaweza ukapigwa na Jeshi pinzani lenye wanajeshi wapatao 400 tu, hao wanajeshi 400 pekee wanaweza wakashinda vita dhidi ya jeshi pinzani lenye idadi ya wapiganaji 20,000. Hii inawezekana kabisa kutokea kwa vita vya kisasa vya zama hizi
 
Hukuelewa. 8832 kj nilimaanisha nini? Ili twende sawa
 
Rais kama Magufuli angetokea congo ...bwamdogo kakame angepata tabu sana...ashukuru kungo inapata marais waovyo .
Tatizo la Zaire (Congo DRC) siyo Rais, bali Congo DRC kuna tatizo kubwa la tangu miaka mingi la kuwepo kwa OMBWE LA UONGOZI na Kukosekana kwa Utangamano wa Kitaifa kunakosababishwa na Dhulma mbaya za kiutawala. Tatizo ambalo lipo karibia kwenye nchi zote za ki-Afrika, isipokuwa Congo DRC tatizo hili ni kubwa zaidi.
 
Paul Kagame anget wa CIA, mtoto mpendwa wa Marekani.
 

Tupe mfano ambao Rwanda ilichokozwa, halafu ilitumia hizo sifa zake kushinda hiyo vita.
Usichukulie kuwaua wapinzani nje ya chigali ndiyo kupigana vita.
 
Wenye Akili Kubwa kama Wewe hapa JamiiForums na wale ambao huwa Wananielewa vyema kabisa GENTAMYCINE kwa Mitazamo yangu ya Kina na ya Kimantiki huwa hampo Wengi.

Asante kwa hii Elimu yako Kubwa kwa Wapumbavu wengi Waliochangia huu Uzi kwa Mihemko na Kukurupuka.

Na kwa Kujiamini kabisa nikiwa na sababu zangu za Ndani nasema kuwa Tanzania haina uwezo wa Kuipiga / Kupambana Kivita na hata Kijasusi na Rwanda kwani itapigwa Asubuhi na mapema
.

Wacha waendelee tu Kunidharau Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…