Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

Kinachokusumbua weww ni kutokujua,ujinga ndio tatizo lako kubwa wewe,unasema eti timeshindwa kuendelea!,unaongelea maendeleo gn wewe?,
Kwa hiyo wewe ndio mwerevu???
Tatizo ulilonalo wewe ni kukosa exposure na highest degree of illiteracy plus uchawa. Kwa bahati mbaya sana kwako, Mimi sifa hizi zote sina.
"No research no right to speak."(Mao Zedong).
All in all, Mimi binafsi sina elimu ya " Kayumba" ya " tia maji tia maji" ambayo wa-Tanzania wengi wanayo, kwa bahati njema Mungu ameniepusha na balaa hili ambalo limewakumba wa-Tanzania wengi zaidi, naamini kwa dhati kwamba hata wewe pia limekukumba.
 
Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Kama hizi tetesi zitakuja dhihirika ni kweli, hapo ndipo ombwe la uongozi litakuja julikana Tanzania.
Huko nyuma Tanzania ndio ilikuwa mstari wa mbele kusuluhisha migogoro kati ya majirani zetu lakini mama Abdul kazi hiyo imemzidi kimo! Nchi yetu haina tena heshima kama zamanı hata katika majukwaa ya kimataifa hatutajwi tajwi tena!
 
Congo ni nchi kubwa ya hovyo sana upande wa mashariki waasi wanaichezea watakavyo. Mshenzi yeyote asijaribu kuichezea mipaka ya nchi kubwa ya Tanzania atapigika mpaka kwake amalizwe kama hataikimbia nchi yake akafie uhamishoni. Hii nchi ingekuwa ya kijinga kule karagwe, ngara na misenyi washenzi wangevamia na kufanya ushenzi wao ila wanachua kuna moto mkali muhuni atapelekewa mpaka kitandani kwake ndio maana washenzi hawathubutu kuingia Tanzania kama Congo mashariki
Vita ya Congo, inawadau wengi, kuna matajiri waazungu wa Afrika kusini, wanamakampuni yanachimba huko madini,hawa hawatski Vita iishe kabisa, ili waendelee kuiba
 
Kagame alisema ana snipers Kama 100 kariakoo, sikujua kama mwingime yupo humu JF
Pombe sio chai ndicho nimegundua Kwa ulichoandika say no to alcohol
Mleta mada hupenda saa kuandika habari za kichonganishi za au kuponda majeshi ya Tanzania au kuchochea migogoro na majirani isiyokuwepo akilewa bapa la konyagi nk
 
Naona watu wengi mnamshambulia mleta mada, ukweli ni kwamba Paul Kagame na Timu zake (Majeshi) wako vizuri ktk masuala ya vita na ujasusi. Endapo kama kweli hao majirani zake wanapanga au wanataka kuanzisha vita dhidi yake, basi wanatakiwa Wajipange sawasawa kabla ya kuanzisha mtiti dhidi ya Paul Kagame. La sivyo wanaweza wakajikuta wapo matatani sana huku Kagame akiendelea kuneemeka kutokana na uchokozi wa majirani zake.
Kumbuka: Kushinda vita kunachangiwa na sababu nyingi, ikiwamo na Intelijensia kali, ari ya wapiganaji, ubora wa zana/silaha za vita, etc. In short Majeshi ya Bw. Paul Kagame yana Intelijensia kali sana, pia wako vizuri ktk suala zima la Manpower & Logistics ukilinganisha na hao wapinzani wake. Wingi wa Wapiganaji au wingi wa silaha siyo vigezo vizuri sana vya kuweza kushinda vita katika dunia hii ya leo ya Sayansi na Teknolojia ya hali ya juu, hoja ya msingi ni Ubora walionao hao wapiganaji, ubora wa silaha wa silaha za kupigania vita, ari au morali ya wapiganaji pamoja na suala zima la Logistics. Kwa hiyo msiidharau Rwanda licha ya udogo wake wa eneo la kijiografia iliyo nayo, "Ukubwa wa Pua siyo wingi wa kamasi."
Vita sio nzuri Kwa sababu ziwazo zozote ziwe halali au la
 
Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Tapeli kama tapeli
 
Vita ya Congo, inawadau wengi, kuna matajiri waazungu wa Afrika kusini, wanamakampuni yanachimba huko madini,hawa hawatski Vita iishe kabisa, ili waendelee kuiba
Putin anakuja Burundi,mwambieni Kagame ajiandae
 
Yaani Rwanda muda wote wabadhani wanaweza kuisumbua Tanzania hicho kitu hakipo atawasumbua DRC kwa kuwa majeshi yao wanauza taarifa kwa Tanzania hicho kitu hakipo Rwanda kwenye medani za kivita sidhani kama wapo kwenye List yetu wao waendelee kutengeneza vita DRC na kuiba madini na hao Sokwe basi..
 
Naona watu wengi mnamshambulia mleta mada, ukweli ni kwamba Paul Kagame na Timu zake (Majeshi) wako vizuri ktk masuala ya vita na ujasusi. Endapo kama kweli hao majirani zake wanapanga au wanataka kuanzisha vita dhidi yake, basi wanatakiwa Wajipange sawasawa kabla ya kuanzisha mtiti dhidi ya Paul Kagame. La sivyo wanaweza wakajikuta wapo matatani sana huku Kagame akiendelea kuneemeka kutokana na uchokozi wa majirani zake.
Kumbuka: Kushinda vita kunachangiwa na sababu nyingi, ikiwamo na Intelijensia kali, ari ya wapiganaji, ubora wa zana/silaha za vita, etc. In short Majeshi ya Bw. Paul Kagame yana Intelijensia kali sana, pia wako vizuri ktk suala zima la Manpower & Logistics ukilinganisha na hao wapinzani wake. Wingi wa Wapiganaji au wingi wa silaha siyo vigezo vizuri sana vya kuweza kushinda vita katika dunia hii ya leo ya Sayansi na Teknolojia ya hali ya juu, hoja ya msingi ni Ubora walionao hao wapiganaji, ubora wa silaha wa silaha za kupigania vita, ari au morali ya wapiganaji pamoja na suala zima la Logistics. Kwa hiyo msiidharau Rwanda licha ya udogo wake wa eneo la kijiografia iliyo nayo, "Ukubwa wa Pua siyo wingi wa kamasi."
Hahahaha
 
Sukhoi ya Congo ilishawahi kuruka kwenye anga la muintelligencia wenu na alibaki hajui lolote. Huyo muitelligencia amejitengenezea maadui wakubwa wa ndani na nje ya nchi yake na wengi wakiwa ni raia aliotaka kuwamaliza hii itakuwa nafasi adhimu ya kumng'atisha barafu.
 
Israel ni nchi ndogo sana kwa ukubwa wa eneo la kijiografia, na imezungukwa pande zote na nchi maadui wakubwa ambao ni majirani zake. Licha ya udogo wake wa eneo, Israel imewahi kupigana vita na kuwashinda karibia majirani zake wote wanaomzunguka. Na mpaka leo, majirani zake karibia wote hawataki tena kujiingiza kwenye ugomvi wa vita vya muda mrefu ilivyopo kati ya Israel na Gaza kwa kuogopa kipigo kutoka kwa Israel.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.
Operation Kimbunga haikuwamaliza wote shenzi kabisa nyie, mkiwa spotted hizo korodani zitafyekwa.
 
Sukhoi ya Congo ilishawahi kuruka kwenye anga la muintelligencia wenu na alibaki hajui lolote. Huyo muitelligencia amejitengenezea maadui wakubwa wa ndani na nje ya nchi yake na wengi wakiwa ni raia aliotaka kuwamaliza hii itakuwa nafasi adhimu ya kumng'atisha barafu.
Sukhoi inaruka daily huko ...
 
Huu mzigo mlipitisha wapi ? ...Bonge anawabana chochoro zote...Drones Fardc zinawasembua mmeagiza hii sio ..je ishafika ?
 
Attachments

  • 1704777223996.jpg
    1704777223996.jpg
    26.1 KB · Views: 6
Back
Top Bottom