Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
- Thread starter
-
- #101
SureIla kaonesha rangi yake halisi alivo na mazarau
Unamtetea mwanamke mwenzioSijaona dharau hapo umemchoka manka wetu
Hakika mkuuAsikudanganye mtu mkuu..zama hizi za kizazi cha nyoka kuna mwanamke anaweza kujifanya anakupenda ila anakuja akiwa na missions maalumu mojawapo ni kukuharibu kisaikorojia au kukuharibia mambo yako..kuwa makini sana.....ukihitaji ushauri kuhusu mwanamke muulize mwanamke mwenzie sababu huwa wanajuana
Jirani ninogeshe basi, mpaka nitangaze ndoa...Unaoa Jirani
😘nakuja inbox unipangeJirani ninogeshe basi, mpaka nitangaze ndoa...
Njoo nakungoja jirani... Nikichelewa kujibu piga kabisa...😘nakuja inbox unipange
Hayo mapenzi ya kutumiana nyimbo yalikuwa ya mwaka 1947 huko ndio Maana amekushangaaHabari wakuu
Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno.
Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana nimeona ana dharau hata kama anajifanyaga ananipenda sana.
View attachment 2353965
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Basi moderators wafunge uzi
Mkuu umejuaje kama ni mchaga?[emoji16][emoji16][emoji1] wachaga na mapenzi wapi na wapi we ungetuma tu m pesa apo mbona ungewin[emoji1]
Sawa jiraniNjoo nakungoja jirani... Nikichelewa kujibu piga kabisa...
[emoji23][emoji23]Wenzio wanataka miamala walipe Vicoba wewe unatuma dedication.
Huna wenguHata kama ananipenda sasa ila hiyo ni ishara ya zile tabia za ndani alizonazo.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app