Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

Baraza la wasukuma watupu
Nani kwakwambia Dorothni Msukuma? Hivi unafahamu kama kuna kina Mgaya Iringa na Tanga? Unafahamu kama kuna kuna Nyerere Kenya? Kimaro Mpanda na si mchaga? Chunguza kabla hujahukumu mkuu unatia aibu. Offcourse hata kama ingekuwa hivyo ni sawa tu maana unatakiwa ufanye kazi na watu unaowaamini japo kwa kesi yako siyo kweli na Dorothsi Msukuma.
 
Well tunamtakia kila jema katika nafasi yake Mpya,

Ila kwa sasa sidhani kama tumefikia wakati wa kuwa na Rais Mwanamke,

Kwa hili jamii yetu bado haijalipokea vyema.
 

Tusubiri tutaona.

Peter’s Principle haitakawia kujibu.
 

 
Naunga mkono hoja, kwa kuzingatia, ni kutoka mule mule...
P
 
Usomi wake unaweza ujawa hasara kwa taifa, imagine tuna PhD holder halafu mpaka sasa hatuelewi kama nchi inaenda mbele au inarudi nyuma, yani tumepoteza dira

Kwa kifupi siasa haitegemei sana elimu kubwa bali utashi na uelewa wa mambo pamoja na leadership skills, hekima, busara na maamuzi yenye tija kwa taifa
 

Acha kuota ndoto za alinacha, mama ana expertise na eneo lake la mambo afya! Hilo la urais liache kabisa! Nyie ndio mnaotuleteaga mattatizo na ndoto zenu mara huyu mara yule!

Urais sio pombe ya ngomani kila mtu anywe!
 
Ni nyapara mzuri sana,kitu kinachomfanya akose sifa ta kuwa mwanasiasa bora

Kama mzee wenu alivyo mzuri kwenye unyapara ila mwanasiaasa hakuna[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Uwe na Rais ambaye ikifika usiku anapanulia mwanaume mapaja,siku Russia,USA na China wakiwa na Rais mwanamke basi iwe hivyo na kwa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…