Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

Waja wanaikuza kuliko uhalisia wake, tumpe mda, ummy naye did well KWA hyo wizara hasa kipindi kigumu Cha corona
Kwa wale wenzetu waliotutangulia a.k.a "MABEBERU" huwa wanaangalia sana professional/academic background kabla ya kupewa wizara yoyote ile, sasa huku kwetu in particular kwa donor kantre kama Tanzania tunapeana wizara kiushikaji/kikanda, finally unatumika kama rubber stamp!
 
Kwani huyu ni wa kanda ipi au ndio hizo ndoto za mchana
 
Uko sahihi aisee bongo experience and exposure doesn't matter, kinacho matter ni connection na wazito tu basi
 
Kwani Dorothy ni Msukuma? Aweso, Byabato, Nchemba,Lukuvi, Mkuchika,Ndumbaro, Mkande, Ummmy, Jaffo, Kitila , Bashungwa, Pinda just to mentioned the few
Hao ni wale wapigaji wa miaka kabla JPM hajawa rais. Wanazeeka na vinyongo mioyoni.
 
Hawa watu wanaoanza na DR mwanzoni ni watendaji tu, suala la kuwa political figure ya nchi hawafai kabisa, hasa suala la demokrasia/ utawala wa sheria huwa ni misamiati kwao. Speaking from experience
 
Kusoma sana ndo kuwa rais bora??
 
Usimfanannishe Dr Dorothy Gwajima na vitu vya hovyo hovyo kama UMMY Mwalimu. Dr Gwajima ni professional, ni mbunifu wa mifumo na ni mfuatiliaji mzuri kwenye malengo. Ni mchapa kazi na mwaminifu.

Huyo UMMY Mwalimu ndiye alikuwa msimamizi Mkuu wa MSD. Jiulize mpaka yule Mkurugenzi Bwanakunu anatakatisha fedha, je Waziri alikuwa hajui?
UMMY na Bwanakunu anatakatisha fedha kupitia Bahari Pharmacy ambaye walimpa zabuni nyingi za dawa ikiwapo delivery kits.

Najuwa kuwa Rais anajuwa kuwa UMMY ni fisadi ndiyo maana kampeleka kwenye Wizara ambayo siyo nyeti.
 
Hiyo Biblia imeletwa na hao hao wazungu kumbuka.
Hivi Nzinga Ndambi alikua mwanaume?
Hivi Merina wa Madagascar alikua mwanaume?
 
Haya kampeni ndio zimeanza ili 'Gwajima' awe rais? Nchi hii na wananchi wake mnawadharau sana sasa.

Yaani wewe hapo ulipo, na huo wasifu uliotoa usioeleza lolote la maana ndio sasa mnaotutawala kama mateka?

Mnawadharau sana waTanzania.
 
Uko sahihi aisee bongo experience and exposure doesn't matter, kinacho matter ni connection na wazito tu basi
Usipinge tu in three minutes za hiyo video mama kawafundisha hospital inventory management ya dawa, kawapa tips za kufanya audits wakurugeni vitu vingine ni commonsense ata kama wao sio medics, kazungumzia succession planning; halafu yeye ni daktari wa binadamu.

Alichoonyesha sio kwamba yeye ni M.D tu but she is well aware on the management side of things, very very broad anaonekana kwenye health management pia..

Uwezi kumfananisha Ummy Mwalimu na huyo mama wala katibu Mkuu wizara ya afya ambae nae ni M.D by trade, mama anaonekana ni level nyingine.

But then inabidi uwe na ufahamu wa health management ili uone how broad she is.
 
Gwajima ni mnyiramba?
Yap , yaani huyo Dada Dr Dorothy Onesphory Gwajima, Mbona Mwigula Nchemba ni wa huko huko na sio Mnyamwezi au Msukuma au kuna Mtu anaitwa Kaseka lakini waweza mpata Rukwa na Tabora, au Mgaya utampata Njombe na Upareni
 
Hiyo Biblia imeletwa na hao hao wazungu kumbuka.
Hivi Nzinga Ndambi alikua mwanaume?
Hivi Merina wa Madagascar alikua mwanaume?
Sio kila Mzungu ni muovu,ila tunafanya makosa tu kujumuisha Wazungu wote.I meant the Deep State.Most Wazungus are extremely good people,wameingizwa mkenge tu kama sisi.Achana na kunipa majina,hivyo haifanyi ukweli kuwa uwongo,ukweli utabaki kuwa ukweli.Msituletee mawazo ya kuzimu,it is simply not acceptable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…