Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Hukusikia hotuba ya rais siku anawaapisha nawaziri kabudi na mpango, alimsifia sumaye kuvunja rekodi ya miaka 10 ktk uwaziri mkuu!! Hii ilikuwa meseji sent kuwa kasim majariwa nae atavunja rekodi ya waziri mkuu kuwa rais.Hakuna waziri mkuu,aliwahi kuwa raisi hapa Tz ukiondoa first president
Over.