Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

Hiv kwani pele ndio alikuwa mrefu!?
 
Bruce Lee
Mohamed ali (the great )
Bob marley
Michael Jordan
Michael Jackson
Pele wa brazil
Hawa viumbe walifanya yao endeleeni tu kuwafananisha ila kwangu mimi walikuwa na vipaji na vipawa vya hali ya juu sana
Diamond platinum uaimsahau
 
Mkuu hayo mengine ni maoni yako ila kuhusu maradona kushindanishwa na pele kuna kitu umepotosha

Kura zilipigwa mara mbili tofauti
1. Wataalamu wa soka waliunda kamati na hii kwa kuchambua vigezo vyote wakaona pele anastahili hii tuzo

2. Walipiga kura washabiki wa mpira ambao kufikia mwaka 1999 70% walikuwa hawajawahi muona pele akicheza na hao ndio walimchagua maradona kuwa mchezaji bora ni sawa na leo watu wapige kura messi vs pele ni dhahiri atashinda messi ila walipoitwa wataalamu pele ndio alishinda tuzo ya mchezaji bora wa karne ya 20

Nlitaka kuweka rekodi sawa
 
Hahahahaa tukiwa wakweli messi na maradona ukiwapambanisha na pele garrincha na zico hawawakuti

Argentina haiiwezi brazil kimpira hta ukiweka kikosi bora cha argentina cha kina redondo , mario kempes, ortega, maradona etc hawaiwezi brazil ya kina tostao, pele garrincha, didi, carlos alberto, zico, socrates, jairzinho, Aldair dah and the list goes on hapo hakuna wa kukifunga hicho kikosi ila hao argentina wana majina tu ya misimu ila kma vipaji brazil ndio kila kitu

Ni hivi.....pele hana mpinzani niwekee world cup 3 mezani na moja alikosa baada ya kuvunjwa mguu ndio wakatolewa na portugal bila hivyo angekuwa amechukua world cup zote alizoshiriki je nani sahivi anaweza
 
Umechambua Vema
 
Hakika
 
Mtazame diego na ukitaka zaidi utakutananazo nyingi tu though kacheza mda mfupi sana. Lakini mambo aliyoyafanya sio ya sport sport.







Mpira sio chenga ni impact uwanjani..... Pele alikuwa na impact kuliko maradona kwanza presence yake tu uwanjani ni motivation tosha ya team mates wake kujituma na kutafuta ushindi kwa hali na mali

Huyo maradona kafeli sana tu kwenye timu nyingi ila pele kila msimu anatoka na kikombe kuanzia anaanza mpira mpaka anastaafu anashindaga tu medali za dhahabu ndio utamlinganisha na maradona ambaye ana kakombe kadunia kamoja tena kwa kubangaiza!!!!
 
Pele hadi leo anapewa heshima zoote na wa brazil pmj na serikali ya brazil,aliwahi pia kuwa waziri wa michezo
Sio kwetu huku leo Edibily Lunyamila hata mia ya andazi hapewi[emoji1321]
 
Sijui mpira ila namjua pele[emoji4]
 
Takwimu zipo hapo juu pelle mchumba tu
1takwimu gani?? Kipi ambacho maradona anamzidi pele..... World cup zote ambazo pele kacheza kachukua kasoro 1966 sababu alivunjwa mguu ila angekuwa amesimama angebeba world cup zote 4 alizoshiriki ila huyo maradona kawaida sana ni mchezaji wa msimu tu ila pele kiwango chake ni kile kile tokea anaanza mpaka anastaafu

By the way pele kacheza muda mfupi sana kuliko maradona..... Pele kastaafu competitive football akiwa na miaka 29 ila maradona alikuwa na miaka 34 ...... Ila tuzo na makombe na impact ya pele maradona hakuwahi ifikia ilihali amecheza miaka mingi zaidi ya pele

Acha pele aitwe mfalme.... Hata magoli yake 1350 maradona hakuweza yafikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…