Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

Kwanza Maradona Ni mfupi, swala la kutumia kichwa linaweza kua changamoto.

Pia Maradona ni midfielder na Pele Ni foward kama Ronaldo de Lima.

Kwenye uchezaji wa Maradona. Alikua mtu peke yake anayeibeba Timu, anayechezesha Timu, anahamasisha na kufunga.

Wakati Pele alikua anatembelea kivuli cha majina makubwa ya wachezaji wenzake wenye uwezo uwanjani.
kama akina

Garincha ambaye mwaka 1962 ndiye(Garincha) alikua kinara peke yake. Pele hakucheza kabisa,

Vava aliefunga goli 3 kwenye fainali mbili za kombe la Dunia,

Pia Didi aliechukua kiatu cha Dhahabu mwaka 1958

Pia kwenye timu ya Brasil wako wengine walikua wanapiga soka hata kama Pele asingekuwepo walikuwemo wakina Gérson, Jairzinho, Gilmar, Tostão, Zito, Bellini na Zagallo.

Hapa chini ni Ubingwa aliochukua Maradona na Timu ya Napoli ngazi ya club.

Serie A : 1986–87, 1989–90

Supercoppa Italiana : 1990

Copa Italia : 1961–62, 1975–76, 1986–87

UEFA Cup : 1988–89

Maradona kuondoka Napoli walishinda kwenye 2011.

Tukija kwenye idadi kubwa ya Magoli world cup unamuachaje Gerd Muller ukamuweka Pele enzi hizo?

Umetaja madawa ya kuongeza Nguvu. Ni sawa,.lakini tambua kua.Wakati zama za Maradona vipimo vilikua vinatumika kuthibitisha . lakini Hakukua na hivyo vipimo vya kuwapima na kuthibitisha wachezaji wanaotumia madawa zama za Pele.


Pia Huko Brasil kwenyewe walishindanisha mwanaspoti bora kuwahi kutokea alishinda muendesha magari ya formula One anaitwa Ayrton Senna. Yaani bado hali inaonyesha hata uko Brazil hawamkubali Pele wao.

Maradona is always the best in.the world.
View attachment 686646View attachment 686647View attachment 686648View attachment 686649

Pichani, Pele akiwa na fisadi Blatter.
Hiv kwani pele ndio alikuwa mrefu!?
 
Bruce Lee
Mohamed ali (the great )
Bob marley
Michael Jordan
Michael Jackson
Pele wa brazil
Hawa viumbe walifanya yao endeleeni tu kuwafananisha ila kwangu mimi walikuwa na vipaji na vipawa vya hali ya juu sana
Diamond platinum uaimsahau
 
Ni kweli kabisa Mkuu.

Ligi za mwaka 47. Alizocheza Pele hazikua na ushindani Mkubwa na tough kama tuuonao leo.

Sioni ni kwa.namna gani atawesa kua na ubora wa Cristiano Ronaldo.

Pele ameshindwa kukubalika kama namba moja nchini kwake na wachezaji wazawa.

Ukweli Mchungu ni kua Maradona ameshamshinda Pele waliposhindanishwa.

FiFa ninshirika la kibepari, ambapo mtazamo wake Maradona amekua akiwapinga sana. Kua wanawanyonya wachezaji pesa zao.nk.
Maradona anamtazamo wa kina Che Guavara and the like...

Si rahisi ukasikia Maradona ameitwa FiFa kwenye sherehe zao na matamasha kama wafanyavyo kwa Pele na hii ni kwasababu ya Uadui wao na Maradona. Pele na FiFa ni Damudamu

Dalili zinaonyesha kama angekua anaelewana nao si ajabu leo hii wangembatiza Maradona kua Mfalme wa Soka na sio pele.

Labda nipate Muda nije nishushe flow ndefu hapa yenye kutafakarisha...

Pele anajituma sana kuizungumza uingereza kwa mazuri. Hata majuzi alipozimia . utaona tu jinsi anavyoitaja uingereza..
Mkuu hayo mengine ni maoni yako ila kuhusu maradona kushindanishwa na pele kuna kitu umepotosha

Kura zilipigwa mara mbili tofauti
1. Wataalamu wa soka waliunda kamati na hii kwa kuchambua vigezo vyote wakaona pele anastahili hii tuzo

2. Walipiga kura washabiki wa mpira ambao kufikia mwaka 1999 70% walikuwa hawajawahi muona pele akicheza na hao ndio walimchagua maradona kuwa mchezaji bora ni sawa na leo watu wapige kura messi vs pele ni dhahiri atashinda messi ila walipoitwa wataalamu pele ndio alishinda tuzo ya mchezaji bora wa karne ya 20

Nlitaka kuweka rekodi sawa
 
Hakuwa na lolote.

Wafalme asilia ni wawili tu ulimwenguni na wanatoka taifa moja,, KING MESSI & KING DIEGO na ndio pele wako anawachukia kwa sababu ni waargentina na wanaujuwa mpira kweli kweli na wamempita mbali sana,, inshort huyo babu uzee unamsumbua.
Hahahahaa tukiwa wakweli messi na maradona ukiwapambanisha na pele garrincha na zico hawawakuti

Argentina haiiwezi brazil kimpira hta ukiweka kikosi bora cha argentina cha kina redondo , mario kempes, ortega, maradona etc hawaiwezi brazil ya kina tostao, pele garrincha, didi, carlos alberto, zico, socrates, jairzinho, Aldair dah and the list goes on hapo hakuna wa kukifunga hicho kikosi ila hao argentina wana majina tu ya misimu ila kma vipaji brazil ndio kila kitu

Ni hivi.....pele hana mpinzani niwekee world cup 3 mezani na moja alikosa baada ya kuvunjwa mguu ndio wakatolewa na portugal bila hivyo angekuwa amechukua world cup zote alizoshiriki je nani sahivi anaweza
 
Mkuu hayo mengine ni maoni yako ila kuhusu maradona kushindanishwa na pele kuna kitu umepotosha

Kura zilipigwa mara mbili tofauti
1. Wataalamu wa soka waliunda kamati na hii kwa kuchambua vigezo vyote wakaona pele anastahili hii tuzo

2. Walipiga kura washabiki wa mpira ambao kufikia mwaka 1999 70% walikuwa hawajawahi muona pele akicheza na hao ndio walimchagua maradona kuwa mchezaji bora ni sawa na leo watu wapige kura messi vs pele ni dhahiri atashinda messi ila wakiitwa wataalamu pele ndio alishinda tuzo ya mchezaji bora wa karne ya 20

Nlitaka kuweka rekodi sawa
Umechambua Vema
 
Hahahahaa tukiwa wakweli messi na maradona ukiwapambanisha na pele garrincha na zico hawawakuti

Argentina haiiwezi brazil kimpira hta ukiweka kikosi bora cha argentina cha kina redondo , mario kempes, ortega, maradona etc hawaiwezi brazil ya kina tostao, pele garrincha, didi, carlos alberto, zico, socrates, jairzinho, Aldair dah and the list goes on hapo hakuna wa kukifunga hicho kikosi ila hao argentina wana majina tu ya misimu ila kma vipaji brazil ndio kila kitu

Ni hivi.....pele hana mpinzani niwekee world cup 3 mezani na moja alikosa baada ya kuvunjwa mguu ndio wakatolewa na portugal bila hivyo angekuwa amechukua world cup zote alizoshiriki je nani sahivi anaweza
Hakika
 
Mtazame diego na ukitaka zaidi utakutananazo nyingi tu though kacheza mda mfupi sana. Lakini mambo aliyoyafanya sio ya sport sport.














Mpira sio chenga ni impact uwanjani..... Pele alikuwa na impact kuliko maradona kwanza presence yake tu uwanjani ni motivation tosha ya team mates wake kujituma na kutafuta ushindi kwa hali na mali

Huyo maradona kafeli sana tu kwenye timu nyingi ila pele kila msimu anatoka na kikombe kuanzia anaanza mpira mpaka anastaafu anashindaga tu medali za dhahabu ndio utamlinganisha na maradona ambaye ana kakombe kadunia kamoja tena kwa kubangaiza!!!!
 
Pele hadi leo anapewa heshima zoote na wa brazil pmj na serikali ya brazil,aliwahi pia kuwa waziri wa michezo
Sio kwetu huku leo Edibily Lunyamila hata mia ya andazi hapewi[emoji1321]
 

Attachments

  • Screenshot_2018-02-01-09-40-35.png
    Screenshot_2018-02-01-09-40-35.png
    219.8 KB · Views: 43
Takwimu zipo hapo juu pelle mchumba tu
1takwimu gani?? Kipi ambacho maradona anamzidi pele..... World cup zote ambazo pele kacheza kachukua kasoro 1966 sababu alivunjwa mguu ila angekuwa amesimama angebeba world cup zote 4 alizoshiriki ila huyo maradona kawaida sana ni mchezaji wa msimu tu ila pele kiwango chake ni kile kile tokea anaanza mpaka anastaafu

By the way pele kacheza muda mfupi sana kuliko maradona..... Pele kastaafu competitive football akiwa na miaka 29 ila maradona alikuwa na miaka 34 ...... Ila tuzo na makombe na impact ya pele maradona hakuwahi ifikia ilihali amecheza miaka mingi zaidi ya pele

Acha pele aitwe mfalme.... Hata magoli yake 1350 maradona hakuweza yafikia
 
Back
Top Bottom