GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PorojoHaya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
Na yatimie.Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
Vyovyote ila tunataka wahusika waadhibiweUnaweza kukuta amekufa paka wa nyumbani badala ya panya wa jirani!
🤣🤣🤣🤣😁, unajua nacheka Kwa nini. HII NI MAAJABU!!View attachment 3092671
Dua ikishajibu watu wataanza kuona vituko ghafla.
Sio mara zote hiyo dua kuua, huwa inatia kichaa pia. Na ikawe hivyo kwa Bi. Chura. Adate mazima.
Hahaha huyo 2025 hatoamini mazingaombwe ya mwaka ujao tujipe muda ...Kuna Mtu huemda 2025 asigombee kwani nina uhakika hii 'Dua Shtakia Mungu' haitomkosa.