Kwa dunia ya leo, sishauri mwanaume aoe mwanamke asiyekua na elimu ya walau diploma

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikuwa poa tu kwa upande wao.

Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo.

Nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu, uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakuwa na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaidi ya kuwa mzigo tu?

Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
 
Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.
Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo. .nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu.uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?

Kwani unaoa mtu wa kukaa nae kujadili mambo ya dunia, kama ndo hivyo tafuta mwanaumme mwenzio tena msomi wa PhD wapo wengi Marekani jitangazeni FB utawapata au watakupata.
 
Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.
Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo. .nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu.uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?
Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Hao wenye elimu hata faida yao hutoona ataenda kazini mtaweka mfanyakazi na atakuomba Hadi pesa ya sabuni
 
Kuna watu wameoa wenye masters na sasa wanalaani Ile siku wamekutana na huyo kiumbe.

Kuna waliooa la 3b na wanakula mema ya nchi no stress.

Omba Mungu upate mke mwema, mtakayependana na kuchukuliana madhaifu hayo mengine ni mapambo tu ya dunia.
 
Hao wenye elimu hata faida yao hutoona ataenda kazini mtaweka mfanyakazi na atakuomba Hadi pesa ya sabun
i
Mleta mada point yake ni kua wasio na elimu kwa zama za sasa hawana uelewa wowote. Maana hata elimu za kijamii hakuna tena kama zamani at least awe amesoma kiasi ndio mtaweza elewana. Zamani walikua wanafundwa, wanafundishwa social skills kushona, kufinyanga na ususi hawa wa sasa ni kakosa kila kitu.

Kupata binti ambae hana elimu ya darasani kwa sasa na muelewa ni ngumu sana kama ni wa mjini anajua kila udaku wa mtaani, bora hata wale wa kijijini and hao wakijijini at least awe na elimu ya dini.
 
Elimu ya shuleni na ndoa Ni nyanja mbili tofauti kabisa ambazo hazina uhusiano wowote.

Mnaweza mkoaona wenye madgree pekee ila ndoa ikawashinda mkaachana.
Na wapo ambao waliishia la Sana ila ndoa yao imejaa furaha, amani na upendo pamoja na maendeleo.

Kikubwa Ni kumpata mwanamke sahihi atakayekushimu na kukusikiliza naye mwanamke ampate mwanaume sahihi atakayempenda na kumjali.

Upendo,heshima na uaminifu ndio misingi kuu ya ndoa.
 
Mleta mada point yake ni kua wasio na elimu kwa zama za sasa hawana uelewa wowote. Maana hata elimu za kijamii hakuna tena kama zamani at least awe amesoma kiasi ndio mtaweza elewana. Zamani walikua wanafundwa, wanafundishwa social skills kushona, kufinyanga na ususi hawa wa sasa ni kakosa kila kitu.

Kupata binti ambae hana elimu ya darasani kwa sasa na muelewa ni ngumu sana kama ni wa mjini anajua kila udaku wa mtaani, bora hata wale wa kijijini and hao wakijijini at least awe na elimu ya dini.
Vipi kuhusu tabia, nayo inafundishwa darasani?
 
Inategemea Ni wa wapi..me kwa Sasa wa kwangu Yuko tanga Wana mpika
 
Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.
Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo. .nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu.uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?
Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Muombe Mungu akujaalie m.ke mwema

Kazi ya kuchagua mke mwachie Mungu ww omba dua tu Mungu atakujulisha kwa njia usiyoitarajia
 
Back
Top Bottom