Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Kwa kifupi Elimu ya ndoa haielezeki na haihitaji mbwembwe za vyeti kila unacho kifikiria kuwa kinaweza kuwa kizuri katika ndoa kinaweza kugeuka Moto kama utapata mwanamke ambae hana heshima, uvumilivu, na upendo.
Hata uoe mwanamke mwenye elimu kiasi gani nakuhakikishia hautaweza kuishi na mwanamke ambae hana misingi ya ndoa ambayo ni heshima, uvumilivu au upendo kwako.
Hata uoe mwanamke mwenye elimu kiasi gani nakuhakikishia hautaweza kuishi na mwanamke ambae hana misingi ya ndoa ambayo ni heshima, uvumilivu au upendo kwako.