Watu wanawaza pesa nadhani na maisha wanasahaau amani na upendo na kusikilizana na heshima Ni zaidi ya diploma na hata vidigrii vinne kwa pamoja na hivyo vitu havipatikani kwenye makatarasi.ni inborn , it's in dna. Oa msomi uwe unaagwa kuwa anasafiri kikazi kila mwezi ama wiki ndio utalijua jiji,akitoka job huwezi kukuhudumia atakuambia Nina stress za jobu,Mara amefokewa. Ukipiga simu Kama nipo juu ya kifua chako ana uwezo wa kutopokea simu akaniambia nipo na bosi kwenye kikao Cha ofisi.
Yaani omba upate mke mwema anayekusikiliza. Bado Naona u mtto oa tuombe uzima muda Ni muamuzi mzuri utatuletea mrejesho nadhani baada 10yrs