kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kwani unaoa mtu wa kukaa nae kujadili mambo ya dunia, kama ndo hivyo tafuta mwanaumme mwenzio tena msomi wa PhD wapo wengi Marekani jitangazeni FB utawapata au watakupata.Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.
Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo. .nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu.uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?
Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Hao wenye elimu hata faida yao hutoona ataenda kazini mtaweka mfanyakazi na atakuomba Hadi pesa ya sabuniAchana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.
Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo. .nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu.uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?
Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Mleta mada point yake ni kua wasio na elimu kwa zama za sasa hawana uelewa wowote. Maana hata elimu za kijamii hakuna tena kama zamani at least awe amesoma kiasi ndio mtaweza elewana. Zamani walikua wanafundwa, wanafundishwa social skills kushona, kufinyanga na ususi hawa wa sasa ni kakosa kila kitu.Hao wenye elimu hata faida yao hutoona ataenda kazini mtaweka mfanyakazi na atakuomba Hadi pesa ya sabun
i
😂😂😂😂Kwani unaoa mtu wakuka nae kujadili mambo ya dunia, kama ndo hivo tafuta mwanaumme mwenzio tena msomi wa PhD wapo wengi marekani jitangazeni fb utawapata au watakupata.
Tena mfanyakazi Hana elimu hahahaaHao wenye elimu hata faida yao hutoona ataenda kazini mtaweka mfanyakazi na atakuomba Hadi pesa ya sabun
i
Ehh Leo watoto wamekua wetu maana huwa mnasema ni wenukulea tu watoto wako ni mchango tosha sana na kukufanya wewe kuishi kwa amani ni mchango mkubwa sana kwenye maisha yako mana ili uweze kufanikiwa unahitaji nyumba yenye amani tu inatosha.
Vipi kuhusu tabia, nayo inafundishwa darasani?Mleta mada point yake ni kua wasio na elimu kwa zama za sasa hawana uelewa wowote. Maana hata elimu za kijamii hakuna tena kama zamani at least awe amesoma kiasi ndio mtaweza elewana. Zamani walikua wanafundwa, wanafundishwa social skills kushona, kufinyanga na ususi hawa wa sasa ni kakosa kila kitu.
Kupata binti ambae hana elimu ya darasani kwa sasa na muelewa ni ngumu sana kama ni wa mjini anajua kila udaku wa mtaani, bora hata wale wa kijijini and hao wakijijini at least awe na elimu ya dini.
Yaani angejua hamna mwanamke mtamu mtiifu mwenye mapenzi kama wa darasa la 7 au f4, ila ukiwa unaweza kumudu maisha yako vizuri kiuchumi, jaribu huyu wa degree wako utakosa amani na ujuaji wakeHao wenye elimu hata faida yao hutoona ataenda kazini mtaweka mfanyakazi na atakuomba Hadi pesa ya sabun
i
Inategemea Ni wa wapi..me kwa Sasa wa kwangu Yuko tanga Wana mpikaMleta mada point yake ni kua wasio na elimu kwa zama za sasa hawana uelewa wowote. Maana hata elimu za kijamii hakuna tena kama zamani at least awe amesoma kiasi ndio mtaweza elewana. Zamani walikua wanafundwa, wanafundishwa social skills kushona, kufinyanga na ususi hawa wa sasa ni kakosa kila kitu.
Kupata binti ambae hana elimu ya darasani kwa sasa na muelewa ni ngumu sana kama ni wa mjini anajua kila udaku wa mtaani, bora hata wale wa kijijini and hao wakijijini at least awe na elimu ya dini.
Muombe Mungu akujaalie m.ke mwemaAchana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.
Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo. .nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu.uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?
Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.
Tabia ni suala mtambuka wote hao aliesoma na asiesoma wanaweza kua na tabia njema/mbaya.Vipi kuhusu tabia, nayo inafundishwa darasani?