Naam ndio elimu ya kijamii hiyo. Ni wachache sana wanaobahatika kupata hiyo elimuInategemea Ni wa wapi..me kwa Sasa wa kwangu Yuko tanga Wana mpika
Wa kwangu alikuwa analea mtoto na Google walioambiwa huko chuo Cha pharmacy sijui humwambii kitu , mtoto analia usiku kucha Yani hashibi anaambiwa apewe maziwa mtoto au uji mwepes hataki anasema atanyonya ziwa lake bila kitu chchte miezi Tisa sijuiYaani angejua hamna mwanamke mtamu mtiifu mwenye mapenzi kama wa darasa la 7 au f4, ila ukiwa unaweza kumudu maisha yako vizuri kiuchumi, jaribu huyu wa degree wako utakosa amani na ujuaji wake
Mbona mwijaku anayo degree na ngumbaru pro max?Uko sahihi mkuu
Mama zetu wa zamani hawakua na elimu ila mfumo wao wa maisha uliwashape wakawa wamama wazuri.
Haya mangumbaru ya zama hizi ni very hopeless.jitu hata jambo dogo tu la kutumia akili yake haliwezi..we angalia hivi vijisanii vyetu tu hapa bongo kuanzia wema,uwoya na wengine wa jamii hiyo waangalie akili zao zilivyo halafu linganisha na aliyeenda shule kama Jokate kuna tofauti kubwa.
Sasa lile si lishogaMbona mwijaku anayo degree na ngumbaru pro max?
JF Raha Sana.Siku yangu imeanza vyema😂😂😂😂😂😂Kuna watu wameoa wenye masters na sasa wanalaani Ile siku wamekutana na huyo kiumbe.
Kuna waliooa la 3b na wanakula mema ya nchi no stress.
Omba Mungu upate mke mwema, mtakayependana na kuchukuliana madhaifu hayo mengine ni mapambo tu ya dunia.
Kweli kabisa suala la kuoa linahitaji mke mwema kwanza hicho ndo kitu cha awali kuliko vyote, diploma yake haitakusaidia kitu kama siyo mwanamke anae jitambuaKuna watu wameoa wenye masters na sasa wanalaani Ile siku wamekutana na huyo kiumbe.
Kuna waliooa la 3b na wanakula mema ya nchi no stress.
Omba Mungu upate mke mwema, mtakayependana na kuchukuliana madhaifu hayo mengine ni mapambo tu ya dunia.
Wa degree zao hata ukinipa bila mahare sichukui, mwanamke maomi wa Tanzania wana usumbufu akiingia kwenye ndoa huwezi kupata amani piece of mind nyumbani ni kama kujitisha gunia la misumali kichwani tena kichwa kikiwa hakina nywele kipara kabisaInategemea Ni wa wapi..me kwa Sasa wa kwangu Yuko tanga Wana mpika
Kwani wewe unaoa mwanamke kwa ajili ya kazi gani?...wengine tumeoa wasiosoma ili waendeshe miradi tuliyofungua.Wanaopinga wameshaoa vilaza, ila ukweli utabakia pale pale, knowledge is the power.
Yupo mdau wangu kaoa mke kilaza akampiga msasa wa English course na mapishi,
Sio unaangalia documentary yeye anataka muvi za dj afro
Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikua poa tu kwa upande wao.
Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za maendeleo.
Nimejaribu kudate nao kama watatu hivi ila nilichoambulia ni kero tu, uelewa wao wa Mambo uko chini kiasi kwamba unajiuliza huyu ukimuoa ukaishi nae ndani atakua na mchango gani katika maisha yako ya kila siku zaid ya kuwa mzigo tu?
Wanaume wenzangu siwashauri muoe mtu ambae hana shule kichwani aisee.