Kwa dunia ya leo, sishauri mwanaume aoe mwanamke asiyekua na elimu ya walau diploma

JF will exist for next 10yrs?
 
Mimi naoa mwanamke mwenye AKILI kwasababu ya watoto wangu...,sihitaji watoto vilaza.
Mimi naoa mwanamke shepu na sura nzuri,,, kwasababu ya watoto wangu...,sihitaji watoto wenye sura personal [emoji2][emoji2]

Sihitahi mwanamke mwenye akili kwa sabab mm tayari nna akili kwa hyo watoto watachukua akili kwangu afu sura watachukua kwa mama yao!!
 
Niamini mkuu kuna ambao wana elimu za shahada ila uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Mwanamke yoyote aliyesoma huwa anaolewa mara tatu kabla hajamaliza chuo maana kila mwaka ana bwana mpya.
 
Yani mkuu,ni viazi hatari.unajiuliza huyu mtu maisha yake anaweza vipi kuyaendesha kama tu issue ndogo ndogo haziwezi.
 
It depends the issue is subjetive....ila ukimpata mwanamke msomi, mwenye upendo, uaminifu, uchamungu na akili ya maisha ni added advantage ktk ndoa yenu...ila Mungu alivyo fundi hakuna mwanamke anayempa hivyo vyote, japo huwenda wakawepo kwa asilimia chache sana.
 
DEGREE ZENU ZA mchongo zinafanya mtukane dada zetu na mama zetu eti usioe mwanawake ambaye ajasoma apo mwandishi unakuta una degree ya arts with education in kiswahili afu unaleta dharau ivo
 
Mi naangalia mwenye tako tu naoa, hii diploma yake itanisaidia nini kitandani
 
Kwaiyo mtoa mada unaoa Ili usaidiwe/msaidiane maisha?[emoji848]
Una wasiwasi akili ulizonazo hazitoshi kuendesha maisha ya familia au[emoji848]
 
Nilitaka nimjibu jamaa nikaacha, Anaandika kumuomba Mungu kupata kitu X bila hata ya kujua inabidi yeye mwenyewe ajue njia yakuoata hiko kitu X ndio Mungu aingize neema zake ....JF imekuwa na watu wenye Reasoning ndogo Sana sikuhizi
Tafuta Ufalme wa Mungu kwanza na mengine yotee utazidishiwa.
 
Mcha Mungu, mwenye elimu ya std 7 na akili ya maisha huwa bora zaidi ya wenye hizo diploma mpaka phd.
 
Mimi nilikutana na hao Ke wasomi zaidi ya watatu lakini hakuna lolote nililoambulia kwao kifaida zaidi ya kupigwa mizinga, kupangiwa ratiba za kuonana, kutopokelewa na simu kwa wakati na hata kutojibiwa sms.

Kila Mtu ajitwalie Ke mwema kutoka kwa BWANA wala si kupangiana ni Ke yupi wa kumuoa na kuishi naye.

NB:

Usishangae ukachemka kupata Ke msomi na kupata Ke asiyesoma ila akawa na maarifa tele na hata mkatoboa.

MUNGU Fundi na huwa hapangiwi zaidi ya kumpatia Mtu anachostahili wala si anachokitaka.
 
Kuna watu wameoa wenye masters na sasa wanalaani Ile siku wamekutana na huyo kiumbe.

Kuna waliooa la 3b na wanakula mema ya nchi no stress.

Omba Mungu upate mke mwema, mtakayependana na kuchukuliana madhaifu hayo mengine ni mapambo tu ya dunia.
Pole sana Mrembo kwa kujijazia wazee wa fursa PM, pia hongera sana kwa kushusha hoja nzito [emoji4]
 
Hao wenye elimu hata faida yao hutoona ataenda kazini mtaweka mfanyakazi na atakuomba Hadi pesa ya sabun
i
Msaidizi wa kazi nyumbani ana umuhimu wake mradi tu mke ajitambue asisahau kuwa yeye ni mama wa watoto na mke wa mtu.
Kuomba pesa ya saluni kwani ni shida jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…