Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hao wanaolazimisha watu wakae upande wao washavamia nchi kibao lakini hakuna UN aliyetoa tamko Leo kavamiwa shoga ake anatupigia kelele
Tutolee upuuzi wakoBado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake. Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael walipofanya vitendo vya kihuni huko Palestine mpaka akavunja mahusiano ya kidiplomasia. Sasa haya Mambo ya kukaa kimyaa uonevu unapotokea kwa kigezo Cha kutoegemea upande wowote ni maajabu. Urusi waondoke Dar Es Salaam.
Nyie ndiyo mlikuwa mnampa jeuri Magufuli. Endeleeni kuwadanganya wanasiasa wa kitanzania.Tutolee upuuzi wako
Mada ya pili Ujinga Ni ule ule
Hamieni kwenye nchi zinazowaunga mkono hao maboyaBado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake. Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael walipofanya vitendo vya kihuni huko Palestine mpaka akavunja mahusiano ya kidiplomasia. Sasa haya Mambo ya kukaa kimyaa uonevu unapotokea kwa kigezo Cha kutoegemea upande wowote ni maajabu. Urusi waondoke Dar Es Salaam.
Kama unabisha mbona Tz haikua NAM kwenyw visiwa vya komoro..waliingia kwa ubabe mana walijua comoro wanaizidi uchumi.Mataifa masikini yanayotegema kutembeza bakuri..ndio huwa na sera kama hizo..eti NAM..njaa tu ndiozinawasumbua..ila kuepuka kunyimwa misaada na taifa hasimu pindi litakapo shinda.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app