Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Bado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake.
Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael walipofanya vitendo vya kihuni huko Palestine mpaka akavunja mahusiano ya kidiplomasia.
Sasa haya Mambo ya kukaa kimyaa uonevu unapotokea kwa kigezo cha kutoegemea upande wowote ni maajabu. Urusi waondoke Dar Es Salaam.