Kwa dunia ya sasa mambo ya Neutrality hayana nafasi, hata Mahakama ina upande wa haki, Tanzania tubadilike

Kwa dunia ya sasa mambo ya Neutrality hayana nafasi, hata Mahakama ina upande wa haki, Tanzania tubadilike

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Bado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake.

Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael walipofanya vitendo vya kihuni huko Palestine mpaka akavunja mahusiano ya kidiplomasia.

Sasa haya Mambo ya kukaa kimyaa uonevu unapotokea kwa kigezo cha kutoegemea upande wowote ni maajabu. Urusi waondoke Dar Es Salaam.
 
Shida iko wapi? mbona wakati libyia na irak zinapewa kisago hatukua upande wowote? kwa nini iwe wakati huu Ukraine inakamuliwa ndo tulazimishwe kuonyesha tuko upande gani! endelea kupigania maendeleo ya familia yako mkuu vita wachie wenyewe
 
Bado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake. Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael walipofanya vitendo vya kihuni huko Palestine mpaka akavunja mahusiano ya kidiplomasia. Sasa haya Mambo ya kukaa kimyaa uonevu unapotokea kwa kigezo Cha kutoegemea upande wowote ni maajabu. Urusi waondoke Dar Es Salaam.
Tutolee upuuzi wako
Mada ya pili Ujinga Ni ule ule
 
Hamieni kwenye nchi zinazowaunga mkono hao maboya
 
Umoja wa kinamama wa Ulaya kila saa wanakaa kumjadili mwanaume Putin...
 
Mataifa masikini yanayotegema kutembeza bakuri..ndio huwa na sera kama hizo..eti NAM..njaa tu ndiozinawasumbua..ila kuepuka kunyimwa misaada na taifa hasimu pindi litakapo shinda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unabisha mbona Tz haikua NAM kwenyw visiwa vya komoro..waliingia kwa ubabe mana walijua comoro wanaizidi uchumi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom