GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC....
Tsh Milioni 500 za Azam
Tsh Milioni 100 za NBC
Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao.
Fedha ambazo Simba SC ( Timu ya iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ) hadi Kupendwa na Malaika wake wote....
Tsh Milioni 814 za CAF
Tsh Milioni 250 za Azam kama Mshindi wa Pili
Tsh Milioni 50 kutoka NBC
Jumla Tsh Bilioni 1 kama na Milioni 200 hivi.
Yanga SC kwa huu mtiririko wa Kimapato kutoka Kwangu Mathematician GENTAMYCINE hata msingeufurahia Ubingwa wenu kwani hauna Faida yoyote Kwenu sana sana labda kama ni Ubingwa mnaotakiwa Kuushangilia ni ule tu wa Mshambuliaji wenu Mayele kuwapeni Style ya Kizuzu ya Kushangilia ila kwa Fedha ( Mtonyo ) mmeachwa mbali mno na Mnyama ( Simba SC ) na huu ndiyo ukweli.
Imeisha hiyo............