Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

Nikiwa JamiiForums huwa nasikia RAHA sana, utafikiri sijui nipo wapi yaani..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Safi Sana lakini mimi mwenyewe ni mpenzi wa gari simple simple tu
 
Kwa hiyo gari haina bima, au bima ina maana tofauti? Hongera kwa hatua hii!!
 
Spacial sioπŸ˜„
 
4.5m used.. Kuna jamaa yangu alinunua hiyo, angejua angetanua biashara yake TU...kilomita 3 inakula lita 10πŸ˜‚πŸ˜‚
4.5M huwezi kupata spacio, hiyo bei ya Passo tena ya kawaida sio kali
Ukipata Spacio kwa hiyo bei omba na namba ya fundi garage kabisa....
 
Yani Beamer ni Beamer bwana weeeh😊😊😊
 
Hivi kwani watu wote wanaopenda hivyo vitu viwili ulivyovisema "Pombe na Ngono".. Huwa ni vigumu kufanikiwa???

Na kwani kufanikiwa kwa wapambanaji ni Kununua gari??.
 
Hongera ila usivimbe sana, maana mpaka kufungua uzi unaonyesha ni jinsi gani unatambia watu wasiokuwa na magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…