Red kObOkO
Member
- Sep 10, 2022
- 43
- 147
Bora umekuja muhusika 😅Beamer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umekuja muhusika 😅Beamer
Nikiwa JamiiForums huwa nasikia RAHA sana, utafikiri sijui nipo wapi yaani..😂😂😂Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.
Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu. Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?
Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022
View attachment 2427237
The Lex, coupes, jeeps, BIMAZ and benz- Lost boyz. BIMAZ = BMW'sBIMA ni nini?..kuhamasisha watu wasinywe pombe ni kuikosesha Serikali mapato, unaweza kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi..
Inatakiwa uviache.Ngono na Pombe
Kwa hiyo gari haina bima, au bima ina maana tofauti? Hongera kwa hatua hii!!Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.
Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu. Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?
Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022
View attachment 2427237
Huyo mjerumani sijui nitamnunuajeTunaomiliki Beemer tuna comment wapi?
Kwa hiyo gari haina bima, au bima ina maana tofauti? Hongera kwa hatua hii!!
Spacial sio😄Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.
Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu. Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?
Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022
View attachment 2427237
Acha masihara mkuu, kama baby walker inakula wese namna hii basi tutaanza kuogopa kuagiza ndinga za maana...4.5m used.. Kuna jamaa yangu alinunua hiyo, angejua angetanua biashara yake TU...kilomita 3 inakula lita 10😂😂
4.5M huwezi kupata spacio, hiyo bei ya Passo tena ya kawaida sio kali4.5m used.. Kuna jamaa yangu alinunua hiyo, angejua angetanua biashara yake TU...kilomita 3 inakula lita 10😂😂
Yani Beamer ni Beamer bwana weeeh😊😊😊Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.
Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu. Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?
Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022
View attachment 2427237
Tunaomiliki Beemer tuna comment wapi?
Hivi kwani watu wote wanaopenda hivyo vitu viwili ulivyovisema "Pombe na Ngono".. Huwa ni vigumu kufanikiwa???Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.
Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu. Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?
Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022
View attachment 2427237
☺️☺️☺️ Viniache sio kuviacha.. Niombeeni ila niweze kuachaInatakiwa uviache.