Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

Beemer Benz Bentley
Bentayga

bentayga-ewb-10-1652106996.jpg
 
Hivi kwani watu wote wanaopenda hivyo vitu viwili ulivyovisema "Pombe na Ngono".. Huwa ni vigumu kufanikiwa???

Na kwani kufanikiwa kwa wapambanaji ni Kununua gari??.
Kwani kati ya kwenye pombe na misikitini na makanisani ni wapi panaongoza parking zake kupaki magari makali?

Kama ulidhani pombe inatia umaskini, amka toka usingizini, wewe ni maskini unayependa pombe, hakuna pombe inampa mtu umaskini, umaskini unaweza kupata hata kanisani kwa kukamuliwa sadaka zisizo kichwa wala miguu kwa kutishiwa tu maisha ya mbinguni wakati huyo anayekutisha hajawahi kufika na wala hajui hatma yake.
 
Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.

Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu.
Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?

Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022

View attachment 2427237
Mkuu umenunua kigoda watu wamekupa heshima kama zote?😂😂😂😂😂
 
Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.

Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu.
Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?

Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022

View attachment 2427237
Hongera, but to be honest kuendesha gari kama hii, spacio, Bora niendeshe boda,
 
Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana.

Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu.
Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje?

Watoto wa kike mtapewa Ngoma bure, acheni shobo na watu Kama sisi ambao tupo 2040 na sio 2022

View attachment 2427237
Yaani unaanzisha Uzi kwa haka ka mkebe? Kweli illiteracy is a very bad desease but poverty is a deadly desease.
 
BIMA ni nini?..kuhamasisha watu wasinywe pombe ni kuikosesha Serikali mapato, unaweza kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi..
Mhujumu uchumi huyu, tumshtaki kwa Economic sabotage and organized crimes Act 1984.
 
Back
Top Bottom