Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Wow!

Good one there ma man!

Ila na TBC nao inabidi watuombe radhi Watanzania kwa kututangazia uongo kuhusu rais Trump.
Acheni wivu basi wakuu! Trump amemsifia sana Magu tena hadharani kabisa na akathibitisha kabisa hana shida na watanzania wanaoishi Marekani kwa vile wana Rais jembe. Hivi ulimsikiliza Gabriel Zakaria alivyokuwa anatangaza kwa mvemve?
 
Acheni wivu basi wakuu! Trump amemsifia sana Magu tena hadharani kabisa na akathibitisha kabisa hana shida na watanzania wanaoishi Marekani kwa vile wana Rais jembe. Hivi ulimsikiliza Gabriel Zakaria alivyokuwa anatangaza kwa mvemve?
Mkuu uko serious au unatania..?!
Kama uko serious hebu tuwekee hiyo clip tuione..
 
- Please usiharibu mada yangu kama unataka mambo ya vyeti fungua thread yako please

le Mutuz
we mh.tulia.vyeti vya huyo jamaa kwanza mengine baadae.! kila kona tutadai vyeti....chooni kanisani shuleni kwenye basi kwenye mikutano tutaendelea kudai vyeti .wewe waona vema jamaa aendelea kupeta kwa vyeti vya sauli? ni halali? ndio malezi
uliyopewa na ccm ya kufanya tetezi/ maamuzi yenye upendeleo ?
 
Aombe radhi makonda kwa kutudanganya na kula jasho letu kumbe vyeti hana
 
thibitisha km kapiga u.turn!,
 
magazeti aina ya "Tanzania Daima" na yale mengine. ni mazuri kwa kuchambia. maana yanakuwa na habari nyepesi kama toilet paper yenyewe.
 
Moja ya wazazi duniani wanaojutia upotevu wa mbegu,manii au shahawa zao ni Mzee malecela ... Ninaamini anajuta kwanini asingepiga chaputa shahawa zikamwagikia bafuni kuliko kinenani mwa mwanamke na kupatikana jitu la hovyo kabisa katika ulimwengu huu...


Le mbululaz please ishi kama mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa taifa hili
 
- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana

le Mutuz



Hata mimi nashangaa watanzania walivyo wagumu wa kukubali kukosea:
Bashite kakosea, hataki kukubali...
Tanzania Daima wamekosea, hawataki kukubali...
Tbc wamedanganya, hawataki kukubali...



Tahadhari: Biasness ni ugonjwa unaoua fahamu za watu kwa haraka sana...!!






Tafakari...!!
 
Kwani una sheria inayokataza mtu kukatiza likizo.!?
Mimi binafsi nishakatiz likizo zangu mara nyingi.


Au bosi anakukatiza likizo. Huyu Bashite aliondoka kwenda likizo kabla hajaruhusiwa. Hakuna issue hapo!
 
Kuweka kumbukumbu sawa, si nasikia hiyo habari ya miezi miwili ilinakiliwa kutoka kwa kiongozi mwenzake kupitia radio iliyotaka kujua kama angelihudhuria sherehe za siku ya wamama!?
Ni kwa kuwa hata wamiliki wa blog nao "wamejibatiza" kuwa waandishi wa habari! Huyo Le Mutuz ni wa kupuuzwa tu!
 
Le mutuz,as a brand you are finished-ulijitahidi sana,but in the end njaa yako imekuwa your undoing.Kwenye vita ya unga,instead ya kuchukua middle of the road approach,in broad daylight ukachukua uhakimu na kuwakana akina Majizzo-leo hii this man is free,how do you look him in the eyes.???? As a captain you abandoned a ship which was not sinking-Issue ya Bashite ndio imekuacha naked kabisa-the whole world imestuka that all is not well,wewe umekomalia. IF I was Davis M,i would cut my losses and abandon hiyo Swahili tv-reputation yako is in tatters-you no longer command respect,in the eyes of many you just an opportunist,who in the end did not play your cards right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…