Kwa hali hii; Je, Job anaweza kumuwahi boss wake kwa ile kura ya veto?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia.

Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine.

Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under control, je anaweza kutumia ile kura ya veto na kusema liwalo na liwe akapindua meza kwenye kikao kijacho cha bunge?.

Na ukapigwa 🎶wimbo hatuna imani naye?.🎵
 
Hahahahaaa Mungu huyu anajua kulipa!!!
kajamaa inabidi kajiuzulu tuu!! Hatakama kamesamehewa lkn mama kashapoteza imani nako hihihihiiii...
Kalimdhuru Assad kakajiona kako swalama,kakamdhuru Lissu,kakatisha watu wasitoe maoni kina Jenerali,kakaingiza covid 19 mjengoni bado kakajiona swalama!!!
Sijui saii kanaandaa risala ya kujiuzulu?? Kalianza figisu sikunyingi hakatoi ushirikiano!
Kaliandaa sala sijui tar. 29 sasa katasalia ndanikwake maana hatukataki.
NACHOPENDA WAZANZIBARI HUWA SIO WANAFIKI!! ASANTE MAMA
Ccm hoyeeeeeeeeee...
 
Job
JamiiForums2099564210.jpg
 
Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia.

Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine.

Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under control, je anaweza kutumia ile kura ya veto na kusema liwalo na liwe akapindua meza kwenye kikao kijacho cha bunge?.

Na ukapigwa 🎶wimbo hatuna imani naye?.🎵
Ccm wakimvua uanachama tu Ndugai anabaki kuwa raia na mkulima Kama watu wengine
B299B982-5638-43A4-B869-0685FF5A70A1.jpeg
 
Nadhani watafanyiana timing, maana mama hata akishinikiza Jamaa kufutwa uwanachama, hawez kumtoa kwenye usipika maana spika silazima awe mwanachama wa chama chochote.

Na ikipigwa kura bungeni mama hataamini macho yake!
Tupo pamoja.

Nani wa kumuwahi mwenzake hapo?.
Course BiM hata kesho anaweza kwenda live na kuvunja bunge wkt Job akiwa anakula dinner na family yake, ile kushituka anamuona BiM akitangaza 😁.
 
Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia.

Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine.

Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under control, je anaweza kutumia ile kura ya veto na kusema liwalo na liwe akapindua meza kwenye kikao kijacho cha bunge?.

Na ukapigwa 🎶wimbo hatuna imani naye?.🎵
hawezi!!kwa nini?? ni hvi, wabunge wengi karibia 90% bungeni waliingia kwa msaada wa JPM na sio kuchanguliwa na wananchi!so wakipiga kura ya kutokua na imani na Rais it means tunaenda ktk uchaguzi, nani ana uhakika wa kurudi tena Bungeni???so watagoma ili kulinda ugali at least mpk 2025 uchaguzi mkuuu!!hence, watamtosa Job tu hakuna namna!!
 
Naungana na wewe 100%. Yani zoa zoa kina Babu Tale akapige kura kutokuwa na imani na mama, hilo halipo
 
Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia.

Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine.

Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under control, je anaweza kutumia ile kura ya veto na kusema liwalo na liwe akapindua meza kwenye kikao kijacho cha bunge?.

Na ukapigwa 🎶wimbo hatuna imani naye?.🎵
Hawezi fanya lolote lile jinga la Dodoma, alidekezwa sana, Ebu mwambie ajaribu kutumia kura ya veto? Kwani anayo? Rais anaweza kuvunja bunge wakati wowote, mbili bunge haliwezi kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais, bali waziri mkuu. Hivi wewe unajua wabunge wapo upande gani? Ebu kasome katiba acha uvivu.
 
Nadhani watafanyiana timing, maana mama hata akishinikiza Jamaa kufutwa uwanachama, hawez kumtoa kwenye usipika maana spika silazima awe mwanachama wa chama chochote.

Na ikipigwa kura bungeni mama hataamini macho yake!
Nyie ndo mnafanya Jf siku hizi iwe kama facebook. Soma katiba kwanza ndo uandike, tunataka elimu sio hisia na ushabiki.
 
Job na kundi lake wako chini ya uangalizi mkali sana wa vyombo vya dola, hakuna mawasiliano atafanya wasijue, hakuna mtu ataongea naye wasijue, hakuna kikao atafanya wasijue, yaani atafungiwa GPS katika magari yake, vinasa sauti katika magari, ofisini, nyumbani, pia Katibu wa Bunge, ambaye ndiye huandaa ratiba ya vikao ni mteule wa MAMA, hii sio kwa bahati mbaya, akiona ratiba hiyo, mara moja atawasiliana na ikulu, hii ni pamoja na makarani wa Bunge , nusu ni waserekali, anaanza tu mambo ya hovyo, hatatoka getini pale nyumbani kwake, hata akitoka, patazimwa umeme pale Bungeni na majenereta kuharibiwa, na hatawaona wale askari wa Bunge kuja kumsaidia, hao askari watatii amri ya Amiri Jeshi aliyewapeleka pale, na haohao ndio wanaweza kuwa wa kwanza kumkamata Job na kumweka chini ya ulinzi, Pia hata walinzi wake ni wale anaopewa na Samia, watabadilishwa analetewa vichwa maji
 
Back
Top Bottom