Kwa hali hii; Je, Job anaweza kumuwahi boss wake kwa ile kura ya veto?

Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia.

Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine.

Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under control, je anaweza kutumia ile kura ya veto na kusema liwalo na liwe akapindua meza kwenye kikao kijacho cha bunge?.

Na ukapigwa 🎶wimbo hatuna imani naye?.🎵
aaha wapi? tukimsema Raisi ana nguvu muelewe, kabla hajaitisha wasiojulikana tayari watakuwa wamemchukua, alafu naibu spika anabutua chini ya mtutu
 
Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia.

Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine.

Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under control, je anaweza kutumia ile kura ya veto na kusema liwalo na liwe akapindua meza kwenye kikao kijacho cha bunge?.

Na ukapigwa [emoji445]wimbo hatuna imani naye?.[emoji444]
Ndugai ni mdogo sana kwa mama,
Hatoshei hata kua house boy wake?
Hivi Ndugai ashawahi kumlalamikia mwendazake kwenye suala la mikopo???
 
Job na kundi lake wako chini ya uangalizi mkali sana wa vyombo vya dola, hakuna mawasiliano atafanya wasijue, hakuna mtu ataongea naye wasijue, hakuna kikao atafanya wasijue, yaani atafungiwa GPS katika magari yake, vinasa sauti katika magari, ofisini, nyumbani, pia Katibu wa Bunge, ambaye ndiye huandaa ratiba ya vikao ni mteule wa MAMA, hii sio kwa bahati mbaya, akiona ratiba hiyo, mara moja atawasiliana na ikulu, hii ni pamoja na makarani wa Bunge , nusu ni waserekali, anaanza tu mambo ya hovyo, hatatoka getini pale nyumbani kwake, hata akitoka, patazimwa umeme pale Bungeni na majenereta kuharibiwa, na hatawaona wale askari wa Bunge kuja kumsaidia, hao askari watatii amri ya Amiri Jeshi aliyewapeleka pale, na haohao ndio wanaweza kuwa wa kwanza kumkamata Job na kumweka chini ya ulinzi, Pia hata walinzi wake ni wale anaopewa na Samia, watabadilishwa analetewa vichwa maji
Naona umecover kila kitu.
HOngera
 
mnazungumzia bunge lipi hili ambalo wabunge wote wanajikomba kwa Raisi.
 
Tz bado sana bunge kumtoa rais madarakani
Au kwa usahihi kabisa caucus ya wabunge ndani ya Bunge la chama kimoja tuone hiyo demokrasia ya chama kimoja inawezekana kutendeka kama wanaLumumba wanavyodai.
 
Africa hii hii ninyoijua ya Askari kuuza bunduki [emoji23][emoji23]
 
Ni mtu pumbavu tu anayeweza kulingania eti nguvu ya Rais na Spika kwa nchi za kiafrika hasa TZ.
Ni kwa sentesi moja tu ya chief Hangaya bunge na Spika wake wanabaki history na hakuna cha kumfanya
 
Tupo pamoja.

Nani wa kumuwahi mwenzake hapo?.
Course BiM hata kesho anaweza kwenda live na kuvunja bunge wkt Job akiwa anakula dinner na family yake, ile kushituka anamuona BiM akitangaza 😁.
Kuvunja bunge sio kazi rahisi kama unavyoandika
 
Job na kundi lake wako chini ya uangalizi mkali sana wa vyombo vya dola, hakuna mawasiliano atafanya wasijue, hakuna mtu ataongea naye wasijue, hakuna kikao atafanya wasijue, yaani atafungiwa GPS katika magari yake, vinasa sauti katika magari, ofisini, nyumbani, pia Katibu wa Bunge, ambaye ndiye huandaa ratiba ya vikao ni mteule wa MAMA, hii sio kwa bahati mbaya, akiona ratiba hiyo, mara moja atawasiliana na ikulu, hii ni pamoja na makarani wa Bunge , nusu ni waserekali, anaanza tu mambo ya hovyo, hatatoka getini pale nyumbani kwake, hata akitoka, patazimwa umeme pale Bungeni na majenereta kuharibiwa, na hatawaona wale askari wa Bunge kuja kumsaidia, hao askari watatii amri ya Amiri Jeshi aliyewapeleka pale, na haohao ndio wanaweza kuwa wa kwanza kumkamata Job na kumweka chini ya ulinzi, Pia hata walinzi wake ni wale anaopewa na Samia, watabadilishwa analetewa vichwa maji
Hoja ya dharura siyo lazima iwe na ratiba,inaweza kuibuka kat kat ya mijadala mingine.

Ata miongoni mwa walinzi na TISS wapo wanaomuunga sana mkono Ndugai,ni vita isiyo na hati miliki anaweza kushinda Samia au Ndugai na siyo ajabu.
 
Ni suala la timing, lakini kwa hapa wanaogopana
 
Nadhani watafanyiana timing, maana mama hata akishinikiza Jamaa kufutwa uwanachama, hawez kumtoa kwenye usipika maana spika silazima awe mwanachama wa chama chochote.

Na ikipigwa kura bungeni mama hataamini macho yake!
Acheni kupotosha, katiba inasomeka hivi;

Ibara ya 84 (7)
Spika atakoma kuwa Spika na ataacha kiti cha Spika itokeapo lolote Kati ya mambo yafuatayo;

(a) Iwapo mtu huyo (Spika) alichaguliwa kutoka miongoni mwa wabunge, basi ikiwa atakoma kuwa mbunge kwa sababu yoyote ambayo haihusiki na kuvunjwa bunge.

Kwa ibara hii ikiwa ccm "watataka" kumwondoa Spika ni kumvua uanachama.
 
Hoja ya dharura siyo lazima iwe na ratiba,inaweza kuibuka kat kat ya mijadala mingine.

Ata miongoni mwa walinzi na TISS wapo wanaomuunga sana mkono Ndugai,ni vita isiyo na hati miliki anaweza kushinda Samia au Ndugai na siyo ajabu.
Mwambieni aliwashe basi tuone, atapelekwa kuishi Kigamboni kama Jumbe
 
Back
Top Bottom