chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
- Thread starter
-
- #101
Membe hayupo kirahakati Ni kama Lowassa, kaenda Upinzani kufuata Urais na akiona hakuna anarudiYaani ahamie chama kingine kisa meza dhaifu? Maana ya harakati ni nini? Ni Meza?
Upinzani wanatakiwa kukusanya rasilimali zao kwa pamoja ili Wai challenge CCM kiukweli, Kama wameshindwa na kampeni zenyewe ndio hizi Ni afadhali angebaki CCM tuHeee we mmama vp. Kwa hiyo tusiwe na vyama vingi
Maana kila mtu ataenda ccm kwenye pesa
CUF na ACT wapo Zanzibar na Kusini, maeneo ya Lindi, Mtwara pia na TangaAngalia; unaposikia nchi flani vyama vimeungana na kukitoa chama tawala madarani hesabu zao huwa hivi, chama A kina wanachama wengi mfano mikoa ya kusini, chama B kiko zaidi Mikoa ya magharibi, chama C kiko mikoa ya kati na chama D kiko mikoa ya kasikazini na chama tawala chenyewe kinajitapata kwa kuwa na wanachama nchi nzima, sasa hivyo vyama ABCD vikiungana ni rahisi sana kukitoa chama tawala, kwa nchi yetu mazingira hayako hivo.Haya niambie unadhani ACT au CUF ni wapi imekita mizizi??
Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Sio jukwaa tu hata wahudhuriaji Ni kiduchu mkuu ikimaanisha kuwa Hana Supportkwani ina shida gani mkuu kwani jukwaa ndo sera , ? hata angesimama juu ya stuli sawa tu ,achana na kuangalia vitu vidogo
😄😄😄 Inaitwa Megaphone au Loudspeaker..!! Ile ya kutangazia sumu ya panya, mende ya kuchora, fangasi, utangotango, mapunye, nyenyere na utitiri.Huyo itafika time tuta mpa ile Microphone yenye speaker hapo hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1] Inaitwa Megaphone au Loudspeaker..!! Ile ya kutangazia sumu ya panya, mende ya kuchora, fangasi, utangotango, mapunye, nyenyere na utitiri.
Dah Sasa mgombea urahisi mbona Yuko juu ya meza mwenyewe .ok Membe twende kazi.Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Lakini aliseme kabla ya October lolote laweza kutokea.October bado week 4,Wabongo bwana nyie nyie ndio mlikuwa mkimpa matumaini hewa mzee wa watu, sasa mnamnanga tena.
Story yake inatupatia somo la kutokuamini sana siasa za mitandaoni.
Juu ya meza,ahahhahhSijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Zitto alitupa matumaini hewa,ndio chanzo cha Membe kwenda ACT.Yaani hawana tofauti na Hashimu Rungwe. Zito aliahidi mara nyingi wataungana na Chadema kuwa na Mgombea mmoja, sijui kwa nn wanalazimisha wakati jamaa kapoteza mvuto wote. Wabadiri gia, waongee na Chadema fasta waongeze nguvu na membe ajitoe ili aje apewe uwaziri mambo ya nje huko mbele wakifanikiwa kushinda. Ila kwa mwendo huo, hamna kitu hapo.
Hapo umeongea kweli. Lkn ngumu sana. Chadema wenyewe wanaukata. Sasa upinzani hatuwezi kuua namna unayo sema. Kumbuka mtawala alipata mali nyingi zilizopatikana wakati tulipokua chama kimoja.Upinzani wanatakiwa kukusanya rasilimali zao kwa pamoja ili Wai challenge CCM kiukweli, Kama wameshindwa na kampeni zenyewe ndio hizi Ni afadhali angebaki CCM tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayupo siriaz jamani[emoji1438][emoji3603][emoji1438][emoji3603]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Sio kweli Membe kasoma upepo kaona wanamuunga mkono ni watu wa mitandaoni ambao hata hawawezi kuhudhuria hizo political rallies wala sio voters ivo kaona ni bora liende tu kuliko kuchoma pesa zake ambapo mwishoni achapwe hata na Mzee wa Ubwabwa Rungwe
Membe uwezo wa kufanya kampeni kubwa anao, pesa za Gadaffi bado zipo, hiyo naamini ni strategy wameamua kumuacha Lissu amtandike Magufuli vizuri.
Ni kama tu mwanamke mjinga akisifiwa njiani anaanza kuleta dharau kwa mme wake!Bado ninaendelea Kuhoji ni Mtanzania gani aliwadanganya Watanzania kuwa Bernard Membe ni Jasusi Nguli kabisa kuwahi kutokea hapa Tanzania?
Rais wa JMT ajaye huyoduh! Kwa hii idadi ya kuokoteza atavuka kweli.