Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Zito alipiga hesabu vibaya, alidhani membe ni asset bara, muhimu angeungana na CDM waachiane wabunge uraisi wamsapoti Lisu. Ila znz ACT hawana shaka saa 4 mapema asubui.
 
Ukweli ni kuwa hana wafadhili ndo maana akina Zitto hawahangaiki naye.

Maalim ana waarabu wake, wanaoitaka ZNZ miaka nenda rudi, ndo maana mambo yake ni levo nyingine. Na waliohamaga ACT walisema, Maalim anacontrol pesa zake mwenyewe, hajaziwasilisha chamani. Kwahiyo ACT ZNZ inajitegemea.
Na usishangae baada ya uchaguzi Maalim akaanzisha chama chake ZNZ. Hapa alijiunga tu vile muda ulikuwa mchache.

Kwakifupi, Membe amejionea mwenyewe kuwa Mkono mtupu HAULAMBWI.
 
Mbona Kuna tawala zilikuwa za kibabe kuliko hata CCM na zikaanguka, Ni strategy tu, japo hawawezi kufanikiwa kuiangusha ndani ya uchaguzi huu,
 
Mbona Kuna tawala zilikuwa za kibabe kuliko hata CCM na zikaanguka, Ni strategy tu, japo hawawezi kufanikiwa kuiangusha ndani ya uchaguzi huu,
Hapo sasa nimeungana na wewe. Tuko pamoja.
Ila ile wakajiunge utawalani?! hata wa kupanga hizo strategy hatapatikana.
 
ACT wangemuunga Lissu mkono bara.

Chadema wangemuunga mkojo Maalimu Zanzibar.
 
Kwa akili hizi mtsendelea kugongwa risasi mpaka za puru
 
Nilalamike kwani Mimi ndio naumbuka Huko vijijini?
Chaggadomo ni chama chenye mifuasi ya hovyo sana.

Kwa hali hii CCM utakung'uta marisasi mpaka basi.

Hicho chama ni kama hakina ruzuku na huu ni uchaguzi wake wa pili kushiriki, wewe unataka kulinganisha na CHADEMA yenye miaka 20?

Ishtoshe hata Chaggadomo watu wanaiunga mkono kwa kuwa wamechoka tu CCM na siyo kwamba ni chama cha maana
 
Membe kachukuwa misq risks..Aliamini Lissu ataenguliwa na tume na angeweza kupata mtaji wa CDM. Calcuoations nyengine ni kuwa amuunge mkono Lissu dakika za mwisho ili Lissu atakaposhinda CCM wamuombe arudi kuiokowa, na possibility nyengine ni kuwa apewe fupa la.wizara nyeti kuiongoza na Lissu.
 
Siasa ngumu sana.
Zitto alijua anakwenda kuiua Chadema
Na kuna wajinga wa CCM humu walisema CDM imekufa, mara haitakuwa kambi rasmi ya upinzani.
Sasa hivi unawacheki NCCR hoiii,ACT bara daaah, CUF atleast anajitutumua akiwa na dhambi ya usaliti mzito.
Mitano tena SASA BASI
 

Kwani hilo jukwaa linamnyima nini? wewe ndo unaona anataabika lakini yeye hana shida. Hivi kwa nini yule wakwenu anaogopa kushuka hata kwenye gari? Anahutubia akiwa kwenye gari au majukwaa yamekosekana?
 
Na kama wangeungana Membe akasimamishwa, CDM ingepoteza wapiga kura ambao ni wanachama, tangu itokee issue ya Lowasa na Sumaye, wanachama wana hasira.
Huwa hawafikiri mbali, walitakiwa kujiandaa miaka2 iliyopita na kuweka mtu makini kwenye hiyo nafasi ya urais ambae hangegawa vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…