Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,451
Reaction score
2,466
cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui?
Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha.

Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi.


View: https://www.instagram.com/p/DaFeT5GqzYs/?utm_source=ig_web_copy_link
mstari unaenda kumuonesha mtu mwingine tofauti kabisa.
📸 Mwanaspoti 👏👏👏🙏
 
Kwa sheria za offside hii ni offside..

HUyu kawazidi wachezaji wote wa egyptakiwemo na golikipa, kisha anabaki na huyo jamaa, sasa fanya huyo jamaa ndio awe golikipa inakuwa offside au sio offside?
Kama ukichorwa mstari hapo na ikaonekana jamaa kawazidi hawa wa egypt basi ni offside, sababu kaziddi mtu wa mwisho wa egypry, ila kama hajawazidi hawa basi inakuwa sio offside.
Ulivyochorwa mchoro ilikuwaje?
 
Sheria inataka wabaki angalau wachezaji wawili (kawaida huwa kipa na beki). Kipa akitoka mbele yake, nafasi yake inatakiwa ichukuliwe na beki mwingine, kitu ambacho hakikutokea hapa.
 
Maelezo yamenyooka. Binafsi nimeelewa
 
Ukifata sheria za mpira ni offside ya wazi, ukileta ushabiki hutoona

Mchezaji anayepokea pasi kabla ya kufunga anatakiwa awe nyuma ya wachezaji wawili(bila ya kujali ni kipa ama beki)

hapo anakua nyuma ya mchezaji mmoja tu... so ni offside
 
Huyu jamaa aliyeanguka chini aliunawa mpira hapo chini kabla mwenzake hajaupiga kufunga goli

 
Majibu kutoka Google
Although Egypt's goalkeeper had come off his line, the offside law still requires the attacker to have at least two opponents (usually the goalkeeper and one defender) between him and the goal line when the ball is played. In this case, the goalkeeper was so far forward that the second-last defender became the reference point, and Khalilzadeh was judged to be beyond him.
 
Ukifata sheria za mpira ni offside ya wazi, ukileta ushabiki hutoona

Mchezaji anayepokea pasi kabla ya kufunga anatakiwa awe nyuma ya wachezaji wawili(bila ya kujali ni kipa ama beki)

hapo anakua nyuma ya mchezaji mmoja tu... so ni offside
Iran kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…