Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

Huyu jamaa aliyeanguka chini aliunawa mpira hapo chini kabla mwenzake hajaupiga kufunga goli

View attachment 3616665
Uyo alieanguka chini na kuugusa Mpira haikuzingatiwa, Mpira ndo ulifuata mkono wake alipodondoka chini tusipotoshe na Hilo: ila Iran kufuzu niaombee Algeria afungwe na Austria au congo wasishinde dhidi Uzbekistan hivyo! Maana hao ndo wamebaki na wnywe wanasiklzia mchongo wa best loser
 
Iran nao wajilaumu striker wao Tena professional kapita vilabu vikubwa Ulaya kukosa penati ya kimaamuzi kipindi Cha kwnza
 
Watu hawaelewi Sheria ya offside.
Siyo lazima awe kipa. Inatakiwa usiwazidi walinzi/wachezaji wawili wa timu pinzani.
Mbona hii ni basics kila mfatiliaji wa football anaelewa. Ila kama huo mpira ukiguswa na mchezaji wa timu pinzani offside inakufa. Na hii ndiyo ngumu kueleweka kwa watu wengi
 
Mimi huwa siwaelewi kabisa, egypt ni afrika, iran ni Asia ila hapo mleta mada unaonekana upo upande wa iran na kumkana mwafrika mwenzio, je! Wangekutana Iran na senegal au timu yoyote ya weusi halafu iran ikanyimwa hilo goli je ungekuja kuongea👇

Goli la Iran ni halali kabisa????​

 
Kwa sheria za offside hii ni offside..

HUyu kawazidi wachezaji wote wa egyptakiwemo na golikipa, kisha anabaki na huyo jamaa, sasa fanya huyo jamaa ndio awe golikipa inakuwa offside au sio offside?
Kama ukichorwa mstari hapo na ikaonekana jamaa kawazidi hawa wa egypt basi ni offside, sababu kaziddi mtu wa mwisho wa egypry, ila kama hajawazidi hawa basi inakuwa sio offside.
Ulivyochorwa mchoro ilikuwaje?
Madogo walioanza kuona mpura juzi ndio shida zao hizi. Utakuta hii kitu alikuwa haijui
 
View attachment 3616651 cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui?
Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha.

Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi.


View: https://www.instagram.com/p/DaFeT5GqzYs/?utm_source=ig_web_copy_link

View attachment 3616925mstari unaenda kumuonesha mtu mwingine tofauti kabisa.
📸 Mwanaspoti 👏👏👏🙏

Kama kitu hukijui uliza kwanza
 
Dunia nayo haijui ila unajua wewe?
Uliza hata chat gpt ikupe majibu sio kufungua uzi wa kulalamika tu. Scenarios kama hizi sio mpya kwa watazamaji wa game nyingi. Ila wewe mzee wa minuso ndio inakuvuruga na kuona ni kitu kipya. Clear offside
 
Ukifata sheria za mpira ni offside ya wazi, ukileta ushabiki hutoona

Mchezaji anayepokea pasi kabla ya kufunga anatakiwa awe nyuma ya wachezaji wawili(bila ya kujali ni kipa ama beki)

hapo anakua nyuma ya mchezaji mmoja tu... so ni offside
Da.... siyo kweli unachosema. Mchezaji anatakiwa awe hajazidi angalau mchezaji mmoja wa timu pinzani (ondoa golikipa). Hajazidi namna gani? Sehemu yoyote ya mwili wake isiwe mbele, unachora mstari uliyonyooka, wakati pasi inatolewa.
 
ni offside angalia mkono wa mwenye namba 9 nyeupe umemzidi mwenye nyekundu beki wa misri
 
View attachment 3616651 cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui?
Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha.

Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi.


View: https://www.instagram.com/p/DaFeT5GqzYs/?utm_source=ig_web_copy_link

View attachment 3616925mstari unaenda kumuonesha mtu mwingine tofauti kabisa.
📸 Mwanaspoti 👏👏👏🙏

Inaonekana hujui sheria za offside. Sheria ni kuwa anayepokea pass (huyu mchezaji wa Iran in this case) siku zote anatakiwe awe na wachezaji atleast wawili, ambao hajawazidi. Hapa yuko mmoja, hivyo ni offside.
 
Video labda uone mechi yote sehemu yenye makandokando inakatwa
Unakomaa bure mkuu, sheria ya offside huijui. Ni huyo beki mmoja tu wa Misri ndiye mchezaji wa mwisho. Sheria inataka wawepo angalau wachezaji wawili ili isiwe offside. Ktu kinachokufanya uchanganye ni kwa sababu kipa ametoka golini. Kpa angekuwa bado yuko kwenye mstari wa goli hapo ingekuwa siyo offside.
 
Uliza hata chat gpt ikupe majibu sio kufungua uzi wa kulalamika tu. Scenarios kama hizi sio mpya kwa watazamaji wa game nyingi. Ila wewe mzee wa minuso ndio inakuvuruga na kuona ni kitu kipya. Clear offside
0c18377c-70b6-429f-b93a-5681b4dd576b-1_all_14841.jpg
 
Ni OFFSIDE ya mchana kabisa, angeupiga huo mpira moja kwa moja sababu goli lilikua wazi kipa alishatoka
 
Back
Top Bottom