Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
- Thread starter
- #21
Haujui sheria za mpira kama mimi
Hata kam hatujui ila tunasaidiwa hata na mitandao
Haujui sheria za mpira kama mimi
Weka videoView attachment 3616870
Hata kam hatujui ila tunasaidiwa hata na mitandao
Ungeweka videoView attachment 3616651 cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui?
Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha.
Angalia hapa uone vizuri mkuuKwa sheria za offside hii ni offside..
HUyu kawazidi wachezaji wote wa egyptakiwemo na golikipa, kisha anabaki na huyo jamaa, sasa fanya huyo jamaa ndio awe golikipa inakuwa offside au sio offside?
Kama ukichorwa mstari hapo na ikaonekana jamaa kawazidi hawa wa egypt basi ni offside, sababu kaziddi mtu wa mwisho wa egypry, ila kama hajawazidi hawa basi inakuwa sio offside.
Ulivyochorwa mchoro ilikuwaje?
Video labda uone mechi yote sehemu yenye makandokando inakatwaWeka video
Umesoma sheria ya offside?Angalia hapa uone vizuri mkuu View attachment 3616927
Kwa hiyo yeye ni kama kipa? 😂😂😂 Kipa akienda kupiga kona uwezekano wa kuoiga kaunta hakuna sababu itakuwa offside au sio?Umesoma sheria ya offside?
Huyo mchezaji uliye mzungushia ndiyo wa mwisho, golikipa hayupo golini
Umesoma sheria ya offside?
Huyo mchezaji uliye mzungushia ndiyo wa mwisho, golikipa hayupo golini
Inategemea anayepewa pasi ya kaunta yupo eneo gani. Siyo offside kamaKwa hiyo yeye ni kama kipa? 😂😂😂 Kipa akienda kupiga kona uwezekano wa kuoiga kaunta hakuna sababu itakuwa offside au sio?
Mkuuu🙏🙏 binafsi nimekuelewa kwamaana hyo kama goli kipa angekua golina na huyo mchezaj wa misri angekua hapo lingekua gol binafs nakuelewa sana baada ya kutuliza fuvuUmesoma sheria ya offside?
Huyo mchezaji uliye mzungushia ndiyo wa mwisho, golikipa hayupo golini
Huyu namba 4 anaonekana kumzidi kidogo huyo wa spain, ni offsideAngalia hapa uone vizuri mkuu View attachment 3616927
Ubingwa wa kombe la dunia hauamuliwi na allah.Iran bingwa WC 2026
Spain gani tena jamani?Huyu namba 4 anaonekana kumzidi kidogo huyo wa spain, ni offside
😂😂 Msamehe bure mkuu kakariri rangi ya jezi siunajua tena ushabiki wa apa napale kama elimu ya hapa na paleSpain gani tena jamani?
Kama ameshindwa kuitambua iyo timu hata uchambuzi haumfai, hawezi nishauri jambo la mpira na unaweza kushangaa hata mpira hafatilii. Offside inakosolewa na dunia nzima yeye anataja Spain 😂😂😂😂 Msamehe bure mkuu kakariri rangi ya jezi siunajua tena uhabiki wa apa napele kama elim ya hapa na pale
Ndo uhalisia mkuu hamna anachojua nimrad nae kachangia😂Kama ameshindwa kuitambua iyo timu hata uchambuzi haumfai, hawezi nishauri jambo la mpira na unaweza kushangaa hata mpira hafatilii. Offside inakosolewa na dunia nzima yeye anataja Spain 😂😂
Ndio hiyo hiyo egypt?Spain gani tena jamani?
Ndio hiyo hiyo egypt?