Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

Angalia hapa uone vizuri mkuu
 
Umesoma sheria ya offside?
Huyo mchezaji uliye mzungushia ndiyo wa mwisho, golikipa hayupo golini
Kwa hiyo yeye ni kama kipa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kipa akienda kupiga kona uwezekano wa kuoiga kaunta hakuna sababu itakuwa offside au sio?
 
Kwa hiyo yeye ni kama kipa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kipa akienda kupiga kona uwezekano wa kuoiga kaunta hakuna sababu itakuwa offside au sio?
Inategemea anayepewa pasi ya kaunta yupo eneo gani. Siyo offside kama
1.Mchezaji yuko katika nusu yake ya uwanja.
2.Yuko sambamba na mchezaji wa pili wa mwisho wa timu pinzani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Msamehe bure mkuu kakariri rangi ya jezi siunajua tena uhabiki wa apa napele kama elim ya hapa na pale
Kama ameshindwa kuitambua iyo timu hata uchambuzi haumfai, hawezi nishauri jambo la mpira na unaweza kushangaa hata mpira hafatilii. Offside inakosolewa na dunia nzima yeye anataja Spain πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama ameshindwa kuitambua iyo timu hata uchambuzi haumfai, hawezi nishauri jambo la mpira na unaweza kushangaa hata mpira hafatilii. Offside inakosolewa na dunia nzima yeye anataja Spain πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo uhalisia mkuu hamna anachojua nimrad nae kachangiaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…