Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

Kama umerefer hivyo, ni sawa. Lakini natural position ya mkono ni ile ya kujibana mwilini kuanzia begani ukinyooka hadi katikati goti na kiuno. Mkono usipojibana tu ukatanuka na mpira ukazuiwa, hiyo sio natural position na ni foul
Nilimaanisha hivyo kuwa mbavuni, kiunoni mpaka mapajani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…