Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

Hiyo takwimu ya asilimia 2% umeipata wapi mkuu?

Yani katika watanzania milion 60 waliopo kwenye mtandao ni asilimia 2?
Huyu CCM kwa hiyo kutokuwa na akili ni kawaida yake.
 
Hiyo takwimu ya asilimia 2% umeipata wapi mkuu?

Yani katika watanzania milion 60 waliopo kwenye mtandao ni asilimia 2?
Twende na uhalisia JF Ina wanachama registered approximately kama laki SITA..je hii ni asilimia ngapi kati ya 60m?
 
Huu si muda wa swali kwa swali..
Nimeuliza hiyo takwimu yako ulikoitoa?

Habari za hesabu za kubaki hazitasaidia kitu.
 
Kwa hiyo kielelezo cha Watanzania wenye smart phones na waliopo kwenye mitandao ya kijamii ni JF?

Kweli wewe ni ndaza
 
Huu si muda wa swali kwa swali..
Nimeuliza hiyo takwimu yako ulikoitoa?

Habari za hesabu za kubaki hazitasaidia kitu.
Shida yenu wengi ni vilaza...hata nikikupa source ya takwimu bado utabisha tu..ndo nikataka nikupitishe darasani kidogo kumbe ndo wale mliofeli ..pole
 
Hata ukishindanisha na mti usishangae mti unashinda!
 
No Reforms No Election...
Tunakazia hapa hapa
 
Huko kaskazini ndiyo kabisa, wana ccm wote wanasimama na askofu Gwajima, hawataki utekaji, uniform za ccm zina nasibishwa na wauaji, hivyo hawazivai siku hizi
 
Shida yenu wengi ni vilaza...hata nikikupa source ya takwimu bado utabisha tu..ndo nikataka nikupitishe darasani kidogo kumbe ndo wale mliofeli ..pole
Kukuweka sawa ni kwamba kwa ripoti ya TCRA ya mwaka 2023, inasema jumla ya watanzania milion 33 ambayo ni sawa na asilimia 53.4 ya watanzania wote wanatumia mitandao ya kijamii/internet..

53.4 ni nusu ya watanzania.
 
Haya sema sasa tuna wapiga kura wangapi?
 
Uchaguzi huru na haki ibirisi wa ccm hawatoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…